Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.

Amewataka wananchi kujiandaa kujiandikisha kwa wingi kwenye daftari la kudumu la mpiga kura BVR zikifika.
Ameionya serikali kutocheza na swala la uchaguzi mkuu

Asisahau NA kwakwe mwambie ubungo ajiandae kukaa bench...
 
Hiyo hapo
attachment.php

Zile fuso ndo hazipo tena hadi msimame kwenye stuli?
 
Wajinga sana Wanaosema hakuna Busega...Rafa Chegeni ni mbunge wa wapi???pole tz..huyu akipewa uongozi na ccm au wachumba zao act hachelewi kuuza nchi...kichwa Nazi kabisa
kawaambie mabwana zako mbiu la mgambo lilishalia..huu ni mziki mnene
 
Msafara wa Naibu Katibu mkuu Chadema taifa Kamanda John Mnyika jana jioni walifanya mkutano mkubwa sana katika kata ya Nyamikoma jimbo la busega Mkoa wa simiyu.Mnyika akiongozana na viongozi mbali mbali akiwemo Katibu wa Bavicha taifa Mwita Julius pamoja na viongozi mbali mbali pia waliweza kufunguwa ofisi ya Bavicha jimbo la busega na kutoa elimu kwa viongozi wote wa Chadema kata na jimbo nzima ya Busega.
 
kwa jina la chadema unaweza ukaitisha mkutano popote
 
Msafara wa Naibu Katibu mkuu Chadema taifa Kamanda John Mnyika jana jioni walifanya mkutano mkubwa sana katika kata ya Nyamikoma jimbo la busega Mkoa wa simiyu.Mnyika akiongozana na viongozi mbali mbali akiwemo Katibu wa Bavicha taifa Mwita Julius pamoja na viongozi mbali mbali pia waliweza kufunguwa ofisi ya Bavicha jimbo la busega na kutoa elimu kwa viongozi wote wa Chadema kata na jimbo nzima ya Busega.

Hawana wafuasi tena , wenye akili washahamia ACT - WAZALENDO
 
Back
Top Bottom