Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Chadema watanzania hawaitaki tenaWatanzania wanaitaka ACT Wazalendo
 
Chama Cha Mafisadi wamechelewa kuanzisha ACT...kumbe ""Nyepesi"nae.usalama..aisee lakini this time wameingia choo cha kike..The only way ya kuepuka sunami la Ukawa ni kuadjourn uchaguzi wakajipange na mbinu..mpya hii ya sasa ya kutumia watu wa usalama ilifanya kazi enzi za akina mrema...n.k
 
Siku ya kufa Nyani miti yote huteleza, ccm ulipendwa lakini sasa CHADEMA inapendwa zaidi. Njia na hila zote zinazotumiwa na ccm zimeshaprove failure.
 
kwa jina la chadema unaweza ukaitisha mkutano popote

Na bila kufanya promo yoyote ya kutumia jina la mtu
Mkutano wa kisiasa kinachotangazwa ni chama kuwa leo chama fulani kitakuwa na mkutano sehemu fulani. Hizi sio enzi za kutangaza kuwa power mabula atakuwa sehemu Fulani
 
Acha uongo, huo mnara wa simu nyamikoma uko maeneo gani?

Unaijua Nyamikoma au unapaskia tu? huko ndipo home na nilikuwepo mkutanoni.Maccm mna laana sana, lakini mwaka huu mtaisoma namba tu
 
Na bila kufanya promo yoyote ya kutumia jina la mtu
Mkutano wa kisiasa kinachotangazwa ni chama kuwa leo chama fulani kitakuwa na mkutano sehemu fulani. Hizi sio enzi za kutangaza kuwa power mabula atakuwa sehemu Fulani
hivi power mabula bado yupo duniani?
 
Back
Top Bottom