Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,925
kamanda hii ngoma ni leo bro. Yani hadi raha.mpaka mwez wa nane , tisa nakuambia mtaitambua chadema.
Sasa mnajiandikisha ? Mmeanza kujiandikisha ? Ujumbe we wana Chadema kujiandisha na waje na marafiki na wapenzi Chadema una sambaa ? Je mnajuwa katika msingi hadi matawi majina na waiga kura wa Chadema ? Je zile kura zenye mashaka bado mnaziachia au mmesha anza maongezi kirafiki wawape kura ? Je mnasaidia Mdee kuwapata wamama na wadada ambao hawaijua CCM ?