Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Ahsante Mungu, kwa kuwa macho yangu yameuona ukombozi wa Watanzania!. Natamani baba yangu angekuwapo kuyashuhudia haya!.

Watanzania tuilinde hazina ya taifa - CHADEMA.

Ni mtaji wa uhai wa nchi ya Tanzania.

Kwa nia moja, moyo mmoja, nguvu moja, maarifa yetu yote na nguvu zote, tushikamane sasa kutoa support kwa viongozi wetu CHADEMA. Lengo moja ni kuinua maisha na thamani ya Mtanzania chini ya uongozi makini wa CHAMA SAFI, CHADEMA!.

Mungu yuko nasi, tutafika salama!.

Maneno yako ya hekima yamenibariki sana
 
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.

Asante kwa taarifa kamanda...
 
CHADEMA ni Mpango kamili wa mwenyenzi Mungu kuikomboa Tanzania.Mungu yupo nasi
 
Amesema kesho anamfuata Chenge Bariadi...
 
Maccm lazima yakome mwaka huu na wachumba zao.
 
mtu anayejilinganisha na chadema ni sawa sawa na kujilisha upepo

kweli kuizuia chadema isiingie ikulu ni sawa na kuzuia maji yote yale ya baharini kwa mikono yako ili yasitoje hapo baharini. Hahahaha. Msalan, rizt, labizon n.k wapo?? Misukule ya act ccm yapo!!!!?
 
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.

Ndiyo Chademakwanza nakuona uko na Mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado Chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .
 
imetulia sana
attachment.php
 
Ndiyo Chademakwanza nakuona uko na Mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado Chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .

CHADEMA ni mbegu iliyopandwa kwenye udongo wenye rutuba..kila uchwao humea na kukua zaidi
 
huyo ni naibu katibu bara, na kuna vijana wengi kama aina kamanda mawazo, ambao wakiitisha mikutano wanahutubia wao. ila wengine mpaka kiongozi mkuu.
 
ndiyo chademakwanza nakuona uko na mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .

kamanda hii ngoma ni leo bro. Yani hadi raha.mpaka mwez wa nane , tisa nakuambia mtaitambua chadema.
 
Ndiyo Chademakwanza nakuona uko na Mnyika hapo . Mimi sijaelewa naomba maelezo kwako mleta mada . Huu ni mkutano wa mwaka 2010 au mkutano wa lini ? Kwani bado Chadema wana nguvu hivi ? Naomba majibu kwako mleta picha tafadhali . Chademakwanza .
Kamanda Lunyungu huu ndio mkutano unaoendelea hapa na wananchi wana hamasa ya Mabadiliko chadema kila kukicha ndio nguvu inaongezeka ndio maana tunasema nimpango wa Mungu
 
Back
Top Bottom