Benjamin Netanyahu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 362
- 60
Tulianza na7 Mungu Tunamaliza na Mungu wao wa shetani(ccm) na ibilisi(act-migebuka)
SASA HII AIBU CHAMA KINA ZAIDI YA MIAKA 20 WATU HATA UWANJA WA OFISI YA KIJIJI HAWAJAI!!!i
Zile fuso ndo hazipo tena hadi msimame kwenye stuli?
Chadema watanzania hawaitaki tenaWatanzania wanaitaka ACT Wazalendo
Chadema mpango wa Mungu. Ukombozi unakaribia
Hapana alimtaje mkewake mamaakoKwenye huo mkutano alimtaja bwana'ake Zitto?
Kwenye huo mkutano alimtaja bwana'ake Zitto?
hivi wewe ni binadamu wa kawaida kweli? Daaah!