Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

picha basi mchezo unoge

Hiyo hapo
attachment.php
 
vita ni vita muraaa.. Liwe jua au mvua... Taget yetu ni magogoni, rasilimali za watanzania zitumike kwa maendeleo ya watanzania, rushwa sasa basi...wananchi wakiamua linawezekana.. Tukutane oktoba; peopleeeeeeeeeeeee...
tanzania nzima sasa ni chadema chadema
 
Naibu Katibu Mkuu Chadema John Mnyika amezidi kuisambaratisha CCM kwa kuhutubia maelfu ya watu katika mkutano mkubwa wa hadhara unaondelea jioni hii hapa Busega.

Katika ziara hiyo Mnyika amefuatana na Katibu Mkuu BAVICHA Julius Mwita.

Mnyika ameendelea kulaani sera mbovu za CCM zilizosababisha umaskini mkubwa kwa wananchi.

Mnyika alilakiwa kwa kishindo kikubwa alivyoingia Busega kwa watu kadhaa kuchana bendera za CCM na kuzitupa barabarani huku wakiimba nyimbo za kuisifu Chadema na viongozi wake.

Hizi habari za uongo ni dalili ya mtu kutetea unga wake, kwanza hakuna sehemu inayoitwa busega wala hakuna kijiji cha busega, Busega ni sawa na kusema Mara, kuna mkoa wa mara lakini hakuna sehemu inayoitwa mara kuna musoma tarime bunda etc.

Sasa hapo ni Nyashimo Lamadi au Nyamikoma?
 
Soma vizuri Geographia ya Nchi yako niko kwenye Msafara nikudanganye mimi si walumumba wala siko hapa kufanya Maigizo
 
Hizi habari za uongo ni dalili ya mtu kutetea unga wake, kwanza hakuna sehemu inayoitwa busega wala hakuna kijiji cha busega, Busega ni sawa na kusema Mara, kuna mkoa wa mara lakini hakuna sehemu inayoitwa mara kuna musoma tarime bunda etc.

Sasa hapo ni Nyashimo Lamadi au Nyamikoma?

Nyamikoma hiyoooo
 
SASA HII AIBU CHAMA KINA ZAIDI YA MIAKA 20 WATU HATA UWAJA WA OFISI YA KIJIJI HAWAJAI!!!i
 
SASA HII AIBU CHAMA KINA ZAIDI YA MIAKA 20 WATU HATA UWANJA WA OFISI YA KIJIJI HAWAJAI!!!i
 
Chadema ni nouma, kesho makamz yanaendelea Bariadi kwa nyoka mwenye makengeza, tutaheshimiatu
 
Hio ndio CDM hata Mkutano ukiitishwa na Mwenyekiti wa Kijiji Watu watajaa. Hatutumii majina ya wasanii km Act na CCM. watu wanapenda chama hawapendi Mtu. Sio chama Mtu akisafiri nacho kinasafiri. Cdm noma.Chama cha mtu MMoja Actccm.
 
Back
Top Bottom