Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,972
Hats Adolf Hitler alijiita "mzalendo'Jana alisema yeye siyo katili mnamuonea tu!
Hats Adolf Hitler alijiita "mzalendo'Jana alisema yeye siyo katili mnamuonea tu!
Kaka na wewe unasoma namba kama mimi eeAnaswagga saana. Na ukarimu..
Sio rire rijamaa rinatuonea bwana
Haha... mimi sasa hivi nazisomea kichwani kimya kimyaKaka na wewe unasoma namba kama mimi ee
KA TAAnaswagga saana. Na ukarimu..
Sio rire rijamaa rinatuonea bwana
hahahahh mbona kama umeongea kwa uchungu sana vipi kwaninyie ni wajinga tuu..huyu mtu ndo mafia alimkata lowasa wazi wazi huku anacheka ..Huyu mzee kwa roho yake hata kuzimu anaishi.. Yani anakuchekea huku anakunyonga sasa anafaaje labda? Bora mtu huyu ambaye hakuchekei na anakunyonga unajua moja
Kweli mmemchokaMavazi sasa mikoti mikuuuubwa utafikiria like fuko la unga mashineni
Haha... mimi sasa hivi nazisomea kichwani kimya kimya
Mavazi sasa mikoti mikuuuubwa utafikiria like fuko la unga mashineni


AnakuoneajeAnaswagga saana. Na ukarimu..
Sio rire rijamaa rinatuonea bwana
KamsaidieMavazi sasa mikoti mikuuuubwa utafikiria like fuko la unga mashineni
Umemsahau huyu aliye muumbua na kumfuta mzee wa watu kazi mwisho/ikapelekea MAUTI.....nyie ni wajinga tuu..huyu mtu ndo mafia alimkata lowasa wazi wazi huku anacheka ..Huyu mzee kwa roho yake hata kuzimu anaishi.. Yani anakuchekea huku anakunyonga sasa anafaaje labda? Bora mtu huyu ambaye hakuchekei na anakunyonga unajua moja
Kweli BUMIJA ADMINTutamkumbuka huyu jamaa.Natamani hata ifike 2020