Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
sawa K matata alafu kuna siku nimeota NN mmeoana eti😊.leo ndo nakumbuka😊😊😊
sawa K matata alafu kuna siku nimeota NN mmeoana eti😊.leo ndo nakumbuka😊😊😊
Daah kama nakuonea basi uwe mpole tuu hehehehheee
Hehehehhehheeeee
![]()
![]()
![]()
Hehehehehheee looh
NN umemaanisha Nyani Ngabu Monkey Pie James Jeddah the man himself always imitated but never duplicated...!!???
Atii homosapian, na wewe ulishaota kuwa unamuoa Kasie Mahaba Matata. .!!??
Manee, imekuwaje leo ukakumbuka hii ndoto?
Uchokozi huu ujue....
sawa K matata alafu kuna siku nimeota NN mmeoana eti😊.leo ndo nakumbuka😊😊😊
Hehehehheee usijali.
Dadii kaniita nimpelekee ana kiu ya juice na mrija .......
😂😂😂OMG huo utambulisho huo uwiiiii.... kwelikbs acha niendelee kuota na nifany"fulusa"....ila umemtambulisha kimahabaaaa😊😊😊
😂😂naotaga ndoto zinazofanana na ukweli na nyingine huwa kweli..Hahahahahahaaa hizo ni aka zake sio kuwa nimemptambulisha. Nilikuwa nazidadavua kuhakiki NN ndo huyo niliemuelewa mimi?
Kuna fursa gani hapo tuipige wote??!
Acha hizo Ng’wanike one...
Hahahahahahaaa hizo ni aka zake sio kuwa nimemptambulisha. Nilikuwa nazidadavua kuhakiki NN ndo huyo niliemuelewa mimi?
Kuna fursa gani hapo tuipige wote??!
aisee unajua kumbebisha beibi..khaa ngoja nijifunze kupitia ww..😊😊 wifi!
Vibaya hivyoo....