Mnyambulisho wa K' Matata

Mnyambulisho wa K' Matata

Okie dokie..... taratibu huko kuchanganyikiwa, usinisababishie nikashitakiwa kwa mada kesi bure heheheheee. ....
Hahahaha

Huwezi pewa Mada kesi

Ila naenda Tanzania Heart Institute .
Kuangalia km moyo umekaa sehemu sawa,maana dah K' wa Kasie K' Matata si mchezo
 
Hahahaha

Huwezi pewa Mada kesi

Ila naenda Tanzania Heart Institute .
Kuangalia km moyo umekaa sehemu sawa,maana dah K' wa Kasie K' Matata si mchezo

Hahahahahahaaa umenikumbusha mistari ya wimbo wa soko.....

Na mashairi ya mzee Yusuph.... kupendwa ndio hukuu. .....

K' Matata Mahaba Moto moto.
 
Hahahahahahaaa umenikumbusha mistari ya wimbo wa soko.....

Na mashairi ya mzee Yusuph.... kupendwa ndio hukuu. .....

K' Matata Mahaba Moto moto.
K' Matata mahaba moto moto ,hatari sana,weka mbali na watoto

Hahaha
 
Wee mtu weewee, umenikumbusha uzi mmoja ulianzishwaga kitamboo, watu walikuwa wanachekaa tuu yaani kila anayeingia anacheka na hakuna anayejua mwenzake anacheka nini hahahahahahaa

Acha nikuitie, aaahahahahahahaaa.
 
Hahaha

Mie nafurahi kuchat na K' Matata
Wee mtu weewee, umenikumbusha uzi mmoja ulianzishwaga kitamboo, watu walikuwa wanachekaa tuu yaani kila anayeingia anacheka na hakuna anayejua mwenzake anacheka nini hahahahahahaa

Acha nikuitie, aaahahahahahahaaa.
 
Maisha hayaitaji msongo wa mawazo mkuu,jina linasadifu yaliyomo.
 
Back
Top Bottom