Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 3,227
- 3,182
Heeey Mnama mamboo, habari ya siku tele??! Upoo!!?
K' Matata.
Poa kabisa. Nipo aisee just looking from the sidelines .
Heeey Mnama mamboo, habari ya siku tele??! Upoo!!?
K' Matata.
Nakubaliana na wewe, sababu mie naniii wa na Dadii na nilitaka kuchepuka pia huwa nachepuka na Dadii halafu tukirudi kila mtu anajikausha kama hatujananiihii vile hehehehehee.
Hahahaha, aseeWadanganye wadanganyika .. sisi wakongwe tunajua namna inavyoliwa tena bila kujulikana popote.
HahahaHehehehee Dadii yuko makini.....
Hapana chezea K' Matata inayotumiwa na Dadii.
Wuuhuuuu shout out to Dadii.....
Presha presha presha presha ya nini, Mbona hutaki kusadiki.....
Makofi mengi mengi kwa Dadii aiseeh.
Hahaha hayaa.
K' Matata.
Click acha hiende yaan acha nao!!Hhahahahaha yaani kama uliotea vile, wapo ambao hawakuelewa, hawajaelewa na sijui kama wataelewa looh.
Basi acha ibaki K' Matata tuu ntafanyaje sasa... ehehehe.
Ooh, perfect! Huwa nasahau ujuwe. Ila hapo hakika lazima dada utakuwa zaidi ya asali...Na wewe kila siku nakwambia ila huishi kusahau. ....
Umri wa K' Matata sio siri 48 ila utaendelea kubakia hapohapo hautaongezeka tenaa hehehehe![]()
![]()
![]()

Jamaniiii, unanionea ujue....
Hii K' Matata nimepewa na wazazi....
Na wewe kila siku nakwambia ila huishi kusahau. ....
Umri wa K' Matata sio siri 48 ila utaendelea kubakia hapohapo hautaongezeka tenaa hehehehe![]()
![]()
![]()