Mnyambulisho wa K' Matata

Mnyambulisho wa K' Matata

Aahahahahhahaaa ni kweli kabisa, kutumiwa ndo haki yake na imeumbwa kwa ajili hiyo. Ila yuko mahsusi anayeitumia nae ni Dadiiiii almaarufu dash dash ndo mchumba wangu hehehehheee.

K' Matata.

Nadhani kwa sababu K’matata, Dadiiiii ambaye ni mchumba bado, ameanza kuitumia, kuifanyanyia kazi!!!
 
Wadanganye wadanganyika .. sisi wakongwe tunajua namna inavyoliwa tena bila kujulikana popote.

Nakubaliana na wewe, sababu mie naniii wa na Dadii na nilitaka kuchepuka pia huwa nachepuka na Dadii halafu tukirudi kila mtu anajikausha kama hatujananiihii vile hehehehehee.
 
Aahahahahaa weeweee....

Poleee kwani ulikuwa unataka kuandika barua, proposal au makala tuu!!?? Hehehhee.
Hahahaha

Hata sikumbuki nilitaka kuandika nn

Ujue K' Matata lkn si mtata ,ndio uzuri wako huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom