Mnyama wa taifa ndio nani jamani?

kuna mchaga asiyekunywa mbege?
mbege sio pombe eti!
Mbege ni Shakula.


Umenikumbusha siku moja niko Vunjo nikakaribishwa Mbege,basi nilipoukataa yule mama akashangaa Yesuu hivi kuna mtu Dunia hii asiyekunywa Mbege..
 
Mbona hatujibu swali? Mnyama wa Taifa la Tanzania ni Twiga.
 
Mkuu mnawanyima habari baadhi ya watu wa pande ya pili,huwa wanatumia hii kitu!


Ubaguzi ni kitu kibaya sana,wauzaji wa hiyo kitu huwa hawataki hata kuusikia mwezi wa Ramadhan,sababu mauzo yao hushuka sana..
 
Wazee wa kuchinja wakikuona watakutoa mbio tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…