Are you a marehemu?Hii pimbi ilikuja kufukua kaburi langu
Nliifukuza balaa
Huyu mnyama yuko kwenye baadhi ya nchi za Africa na America, anapenda kufukua makaburi na kula maiti za binadamu, na amejaaliwa akili akisikia kuna mtu anakuja huamua kulia sauti ya binadamu na mtu yoyote akisikia sauti hiyo atadhani ni sauti ya maiti kaburini atakimbia mbio nyingi na mnyama huyu atabaki kumla maiti kwa raha zake.
View attachment 1181188
Wakati huoo ukiwa wapi mkuu hadi ukamfukuza mnyama huyu?? Au ndio yale majani yetu yemeanza kufanya kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii pimbi ilikuja kufukua kaburi langu
Nliifukuza balaa
Sasa si nlkua kaburiniWakati huoo ukiwa wapi mkuu hadi ukamfukuza mnyama huyu?? Au ndio yale majani yetu yemeanza kufanya kazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah nikimpata huyu namfuga... Kisha namfundisha aniletee maiti za watu fulani... Kwa kuanzia ningemtuma aniletee yaHuyu mnyama yuko kwenye baadhi ya nchi za Africa na America, anapenda kufukua makaburi na kula maiti za binadamu, na amejaaliwa akili akisikia kuna mtu anakuja huamua kulia sauti ya binadamu na mtu yoyote akisikia sauti hiyo atadhani ni sauti ya maiti kaburini atakimbia mbio nyingi na mnyama huyu atabaki kumla maiti kwa raha zake.
View attachment 1181188
NimefarikiKwaiyo uliwai kufariki 😂
Ongea kiswahili mi Kizungu sijuiAre you a marehemu?
Huyu anadhani huku Ni Facebook anakurupuka kutupostia ujinga ambao umeanzishwa na wajinga.Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.
The alligator snapping turtle (Macrochelys temminckii) is a species of turtle in the family Chelydridae. The species is native to freshwater habitats in the United States. M. temminckii is one of the heaviest freshwater turtles in the world.[3] It is often associated with, but not closely related to, the common snapping turtle, which is in the genus Chelydra. The specific epithet temminckii is in honor of Dutch zoologist Coenraad Jacob Temminck.[4][5]Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.
Sasa mbio wapi mkuu au unaogopa kupewa kesi ya kuchafua jukwaaa maana hizo mbio alafu naona nyuma sio salamDah nikimpata huyu namfuga... Kisha namfundisha aniletee maiti za watu fulani... Kwa kuanzia ningemtuma aniletee yalangu yule wa SIIT
Na uzushi nao ni sehemu ya hayo mambo!...Duniani kuna Mambo!...
Sasa mbio wapi mkuu au unaogopa kupewa kesi ya kuchafua jukwaaa maana hizo mbio alafu naona nyuma sio salam