Mnyama wa ajabu anaefukua makaburi na kula maiti

Adimu

JF-Expert Member
Aug 22, 2013
655
283
Huyu mnyama yuko kwenye baadhi ya nchi za Africa na America, anapenda kufukua makaburi na kula maiti za binadamu, na amejaaliwa akili akisikia kuna mtu anakuja huamua kulia sauti ya binadamu na mtu yoyote akisikia sauti hiyo atadhani ni sauti ya maiti kaburini atakimbia mbio nyingi na mnyama huyu atabaki kumla maiti kwa raha zake.
 
Yupo kama Fisi maji

View attachment 1181188
 
Dah nikimpata huyu namfuga... Kisha namfundisha aniletee maiti za watu fulani... Kwa kuanzia ningemtuma aniletee ya langu yule wa SIIT
 
Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.
 
Huyu anadhani huku Ni Facebook anakurupuka kutupostia ujinga ambao umeanzishwa na wajinga.
 
Mleta mada umekuwa mwepesi sana kulishwa na kuamini vitu visivyo na ukweli na ukavileta hapa. Huyo mnyama anaitwa alligator snapping turtle na siyo kweli kwamba anafukua makaburi na kula maiti. Ukipenda hautatumia muda mwingi na mb nyingi kupata habari za huyo mnyama.
The alligator snapping turtle (Macrochelys temminckii) is a species of turtle in the family Chelydridae. The species is native to freshwater habitats in the United States. M. temminckii is one of the heaviest freshwater turtles in the world.[3] It is often associated with, but not closely related to, the common snapping turtle, which is in the genus Chelydra. The specific epithet temminckii is in honor of Dutch zoologist Coenraad Jacob Temminck.[4][5]

Alligator snapping turtle
Alligator snapping turtle.jpg
 
Dah nikimpata huyu namfuga... Kisha namfundisha aniletee maiti za watu fulani... Kwa kuanzia ningemtuma aniletee ya langu yule wa SIIT
Sasa mbio wapi mkuu au unaogopa kupewa kesi ya kuchafua jukwaaa maana hizo mbio alafu naona nyuma sio salam
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom