Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 655
- 284
Huyu mnyama yuko kwenye baadhi ya nchi za Africa na America, anapenda kufukua makaburi na kula maiti za binadamu, na amejaaliwa akili akisikia kuna mtu anakuja huamua kulia sauti ya binadamu na mtu yoyote akisikia sauti hiyo atadhani ni sauti ya maiti kaburini atakimbia mbio nyingi na mnyama huyu atabaki kumla maiti kwa raha zake.