Mnyama Nimpendae

Hata Makamo wa Rais anawapenda hawa wanyama...hapa yuko na mama Jane Goodall.......mzungu aliyehamia Tanzania kwa kuwa imejaliwa wanyama hawa..nasikia hata kule bustani za Ikulu walikuwepo kabla hawajahamia maofisini


mzee wa kufungua majengo,kakosa mkasi tu hapo angemkata huyo toy
 
Hawa wanyama wana akili na maarifa kidogo......hapa anarina asali kwa kutumia kijiti bila kuwaudhi nyuki

 
Ni kweli wanamsingiziaWasira wa watu, hajafanana naye hata kidogo. labda midomo tu.

Mkuu Ndiba umeniacha hoi, utadhani ulikuwa umejiandaa kujibu hii post! Picha umeitundika wakati muafaka!!
 
Huyu Mnyama wenu mpendwa, mpeni basi Tano bora apumzike, khaaaa!!!!!

 
Jamani hebu tuheshimu viongozi wetu.....Wassira anaingiaje hapa?


Saawaaah, lkn hebu tuambiane tu ule ukweli alipitapitaje ubunge huyu & ana sifa zipi hasa za yeye kustahili kuwa kiongozi na kustahili kuheshimiwa?! Siku zote, JIHESHIMU UTAHESHIMIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…