Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,835
Agundulika? Kadondoka serengeti kwa ungo au katoka kwenye mapango?
Agundulika? Kadondoka serengeti kwa ungo au katoka kwenye mapango?
anaitwaje sasa huyo mnyama mpya?Inamaana wakazi wa huko au wawindaji hawajawahi muua kama huyo
Yuko Masai Mara Kenya huyu!
Hii ni mchanganyiko wa swala na simba
Hii ni mchanganyiko wa swala na simba
Ina maana simba alishindwa kuvumilia urembo wa swala ikabidi amwage mistari au sio.....hahahahaahaha lol haya bana
Au swala alikosa uvumilivu kwa urembo wa simba!yote yanawezekana maana kwenye mapenzi hakuna ukali,ni kutulia na kula raha tu!!
Aaah wapi Sio kwamba ni swala aliyekosa lishe huyu jamani (mwenye utapiamlo)?