MNYAMA MPYA AGUNDULlKA SERENGETI.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
berntsen.568.jpg



berntsen.240.jpg





SOURCE
Hairy enigma of the Serengeti photographed again
 
anaitwaje sasa huyo mnyama mpya?Inamaana wakazi wa huko au wawindaji hawajawahi muua kama huyo
 
Ina maana simba alishindwa kuvumilia urembo wa swala ikabidi amwage mistari au sio.....hahahahaahaha lol haya bana

Au swala alikosa uvumilivu kwa urembo wa simba!yote yanawezekana maana kwenye mapenzi hakuna ukali,ni kutulia na kula raha tu!!
 
Au swala alikosa uvumilivu kwa urembo wa simba!yote yanawezekana maana kwenye mapenzi hakuna ukali,ni kutulia na kula raha tu!!

Kweli yote yawezekana...mwisho wa siku tukajipatia kamnyama karembo kenye ndevu na nywele kiasi za simba na shape ya swala...Mungu atupe nini zaidi!!! National Geographic au Animal Planet inabidi wajuzwe kuhusu kizazi hiki cha aina yake. Na Guiness World Records pia.
 
kama ndio amagundulika basi ni faraja kwa watz, ndio maana ni muhimu sana kuendelea kuhifadhi viumbe wetu huenda wengine bado hawajagunduliwa na wanasayansi. sijui jina lake kisayansi anaitwa nani...
 
Hii ni mix ya swala na nyumbu, mwili ni wa swala & bichwa kubwa ni la nyumbu!
 
QUOTE=JS;National Geographic au Animal Planet inabidi wajuzwe kuhusu kizazi hiki cha aina yake.

Wameshajua. They are trillion miles ahead of us in terms of news gathering. Kwani hata hao wanaojifanya 'KUMGUNDUA' huyo swala waliwapa taarifa hao jamaa kwanza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom