MNYAMA MPYA AGUNDULlKA SERENGETI.

Kama yupo najua kukimbia hawezi maisha yake nimafupi lazima awe chakula cha mzee wa nyika.
 
Hapa lazima wanyama walichakachuana Nyumbu alimchakachua Swala ndo likatoka hilo zao kama mnavyoliona
 
climatic change. it is an adaptation to global cooling ( i dont mean global warming)
 
Ameonekana au amegundulika? Na kuchelewa kumuona ni ishara kwamba kuna watu hawafanyi kazi ipaswavyo. Kwa sababu kwa vyovyote vile hajadondoka kutoka angani wala hajachipua kama uyoga,labda kama katoroka kutoka mbunga/ mapori mengine. Na ingekuwa hivyo kwa nini iripotiwe kuwa amegundulika?
 
come on guys, dont be fulls, huyo ni swara amepitia genetic changes kidogo, mbona kuna wanawake wana ndevu. wangekuwa ni wangi tungesema hivyo lakini ni mmoja tu! ameundergo genetic change
 
berntsen.568.jpg


KUNA HAJA YA KUWACHUNGUZA SWALA NA NYUMBU NYENDO ZAO
MBONA KAMA NI PIJINI YA SWALA NA NYUMBU?
 
Kama yupo najua kukimbia hawezi maisha yake nimafupi lazima awe chakula cha mzee wa nyika.

Ukisoma hiyo link hapo inaonekana huyu mnyama anaweza ku run race za predator wake, kwa maana wapiga picha walimkuta karibu na kundi la gazelles wa kawaida na pembeni kulikua na cheetah kadhaa.
Huyu mnyama nadhani itakua ni matokeo ya mutation, hapa tutahitaji Molecular ecologist kutuweka wazi na haya tunayo kisia vinginevyo tutabaki tu oooh nyumbu alimtokea gazelle mara gazelle ndio alimtokea nyumbu...I wonder kama maecologists wetu wana record ya hili suala
 
Simpendi mnyama huyu kwa sababu nasikia eti aliyemgundua ni mzungu mmoja. Yaani mzungu atoke kwao huko aendelee kugundua wanyama wetu huku. Hao ma Ecologists wetu wanafanya nini. Kwanza huyu ni Mutation tu ila ni swala wa kawaida na siyo mpya
Huyo mnyama si apewe jina langu jama!!!
 
mzuri sana, Tanzania tuna kila kitu wajameni, ufiswadiiiiiiiiiiiiii tu unatuitafuna
 
Au swala alikosa uvumilivu kwa urembo wa simba!yote yanawezekana maana kwenye mapenzi hakuna ukali,ni kutulia na kula raha tu!!
hahaha mkuu hapo hapana, simba anauwezo wa kumuingilia kinguvu swala, lakini swala hana uwezo wakumuingilia au hata kumtongoza simba hahaha
 
Back
Top Bottom