kwa mbali anafanana na ile picha ya agip!
je kweli ni mnyama 'dubwana' lililowahi kuishi na likitema moto!
Kwani yule wa agip sio dragon?
Hapana dragon ni kama nyoka hivi mwenye mbawa ila yule wa agip yupo mfano wa mbwa hivi.
huyo ni panzi sio mnyama.
Mkuu bado wapo duniani hawa viumbe?
Hapana mkuu hata babu yangu hajawakuta hawa historia yao inafanana na wale mijusi wakubwa waliokua na uwezo wa kumla mnyama mkubwa kama tembo.
Mkuu hua nadhani majina mengine ya viumbe hubuniwa tu na wala hawakuepo, hao dragon, nguva, na wengine hua nina wasiwasi