Mnuso!!!

mi huwa nafurahi sana nikikaa na watu walionizidi kielemu na kimaendeleo wakianza kunipa stori za maisha yao na vikwazo
 
Sioni sababu ya watu kuwa waoga kukutana.
Niogope nini? As long as mimi sio mhalifu,mimi sio fisadi, mimi sio haramia, mimi ni raia halali na mtumishi wa umma wa watanzania.


Na hatuwezi kuonana bila kujuana kwa Id mana hakutakuwa na mvuto.


Imagine furaha mtu utakayo pata unabadilishana mawazo na mtu huku anajimbulisha kwamba yeye ndio Bujibuji, Kongosho, Lizzy, Asha Dii, Maria roza, R. Roulete, Fe lady, Sweet ladyg, Preta, Jestina,Nyamayao,Nyumba kubwa, Kloro, The boss, finest, St ivuga, Masanilo, Vivian,figaniga, N. Ngabu, Asprin, Paka Jimmy, mr Rocky na wengineo weengi, tukijuana kwa id zetu hapo ndio patakua na mvuto wa aina yake mana kila mtu atafurahi kumjua mwenzake.

Kichekesho ni kwamba yule uliyemdhania ni mdada mrembo utakuta na kibii kizee, au kidume, kibabu n.k dah itabidi kuwepo na raundi ya chimpumu kwa kuwaenzi wazee wetu watakaokuwa hawatumii byuariz


Nawasilisha

sawa mkuu, id muhimu. kwa wale watumiaji wa noah, kuna mdau atatoa kilo kwa kila mtu.
 
Ningeomba wana MMU wooote tukutane xmass hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo live na kuifurahia siku kuu hii kwa pamoja tukila na kunywa. Nitajitolea round moja kwa kila mtu. Nimeona nifanye hivi kwa upendo tu kwa vile humu jamvini ni kama tumekuwa kama familia sasa. Tumeshauriana mengi sana na kujifunza mengi kupitia ushauri au mda wanazotoa memba wengine. HAKUTAKUWA NA HAJA YA KUJITAMBULISHA ID YAKO YA MMU. (Ikiwepo hii watu watasusa najua)

Basi pia ningeomba mpendezeke sehemu ya kukutana na mda. (sehemu ambao itapendekezwa na memba wengi ndio itapita)
Karibuni sana kwa mapendekezo. Waweza kupendekeza siku hiyo kuwepo nini ili kutia nakshi zaidi
Mkangafu....Mdindifu... Kibuku... vipo?
 
mkuu hivi pale ccm-Lumumba si mna ka ukumbi au?fanya mpango basi tufanikishe tukio, ongea na Jk awe mgeni rasmi.
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulu
 
Wewe unaufahamu tu wa Lumumba. Tz hii kila mahali kuna kumbi na viwanja vya CCM! Tatizo JK akija watu mtaanza kujichekesha chekesha ovyo kama wale jamaa wa jumapili ikulu

angalia lakini asije akaondoka kwa aibu!


Halafu lini mmepewa hati mili ya viwanja??tz kuna viwanja vya ccm?!
Nchi imetoka kwenye chama kimoja na kuingia mfumo vyama vingi hapo inataki viwanja vyote viwe mali ya wa tz wote na sio ccm maana walishiriki kuvijenga watanzania wote na kwa sasa sio wote wamebaki ccm. Je wapinzani sio watanzania?
Wait katiba mpya uone kama utakubali huo upuuzi mliotuletea tangu kuanza kwa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom