Mnunuzi wa choroko anahitajika!

Mnunuzi wa choroko anahitajika!

lukwila

Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
45
Reaction score
60
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ninatafuta mahali pa kuuzia choroko yangu ambayo naikusanya kutoka vijijini kwa kipndi hiki.
Mtaji wangu si mkubwa sana lkn nina uhakika wa angalau tani tano kwa kila wiki,kwa hiyo kwa mwezi naweza kuuza tani zaid ya 25!

Kama kuna mahali wananunua naomb unielekeze lkn vilevile hata kama wewe unanunua kama wakala wa makampuni makubwa bado ni jambo jema tunaweza kujadiliana tujapanga bei kwa kila kilo ilimradi na mm nabakiwa.
 
Lete Dar es Salaam.
Tunanunua Choroko.
Bei ya choroko leo ilikuwa 1,080/=
Karibu sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Hebu tupeane fursa huko india unapataje soko
Soko linapatikana kwa kujitangaza.
Ila kwa upande wangu nilipata nafasi ya kusoma huko, hivyo nawatumia baadhi ya watu ninaowafahamu.
 
Back
Top Bottom