Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,095
- 15,537
Hakuna malaria 1,2,3,4, au 5 mkuu.Nimepima hospitali moja wakasema nina malaria 4,wamenipa dawa, kabla sijameza dawa nikaenda hospitali nyingine kuhakikisha wakasema sina malaria,
Nipo njia panda, nimeze dawa au nisimeze?
Ushauri wenu tafadhali
Hapo umepigwa na kitu kizito.. 😅😅