Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro

Maisha sio rahisi, na pia Hawa vijana msiwabeze, kwa kusema mnawasaidia afu wanakuwa sio wavumilivu, ukweli ni kwamba vipawa vinatofautiana, pia malezi na mazingira, kama unaweza kumuajiri mwajiri, kama uwezi usimbeze
 
Maisha sio rahisi, na pia Hawa vijana msiwabeze, kwa kusema mnawasaidia afu wanakuwa sio wavumilivu, ukweli ni kwamba vipawa vinatofautiana, pia malezi na mazingira, kama unaweza kumuajiri mwajiri, kama uwezi usimbeze
Hakuna anayebeza ..shida iko hapa .watz hatupendwi kuambiwa ukwel...tunataman kusikia mambo mazuri tunayotaka sisi tu ..hatutak kusikia other side. Na anayekuambia live huyo ndo mzuri anakukomaza. Anakupa hasira kumprove wrong...! Huwezi fanya biashara ijumaa jumatano umequit...nasema haipo hiyo ...kama ingekua kubezwa Basi watu tulibezwa. Na hatujafika tunapotaka...!
tumetofautuana bas. Mie mtu akinibeza akininyaki akinivuruga akili inakuwa Safi vby muda wote kuliko kila Mara unataka upongezwe..anywys sijui...
 
Very true, na hela yako ya kutafuta ni tamu balaa
 
Najamkuu55 said:
Leo jumapili mpaka jumapili ijayo kama hutopata dhoruba lolote mimi nife.
Tunza hii comment ikifika jumapili ijayo njoo uijibu.
Acha uchawi mkuu
 
mkuu vipi wanasemaje huko ABSA?
 
Umefika hatimaye! Maana huyu ndo mtani wako og ..umeadimika ..!niombee
Hahah ntakuweka kwny maombi.

Nilivyoona amekuja na hii 'nanhii' mpya nikajua atakua amebadilika ki-mtizamo/harakati ila naona bado mtizamo ni ule ule kama alipokua anatumia ile 'nanhii' ya zamani.

Akaze tu,hakuna kitu rahisi.
 
Umefika hatimaye! Maana huyu ndo mtani wako og ..umeadimika ..!niombee
Utani mzuri tu ila tatizo unaangalia sehemu unapo pitch minakuandikia passage sensitive unaleta utopolo mbona tumetaniana sana uzi wa mtu kukudharau ila pale juu nimeandika serious scenario analeta ukolo.
 

Hadi mwenyeji alitaka umtafutie? Kweli dunia hadaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…