Mnipe mishe za kuingiza kipato Morogoro


Bora huyo..Kuna mmoja akifanya kazi 4dys..!😀😀😀🙌🙌🙌! Imagine umemchangia kila kitu😀😀..alafu anakuja kukuambia kiwepesii ah sisy hapa hakuna ishu😆😆..bye kwa huu Uzi ..
 
Nop
We mpe mchongo mkuu...!
Nitaongea nawe mpaka suala litapokamilika kuna ishu iko kwa nyuhapa
Mie tapeli..hebu Sivan endelea na Mishe tu Zako..tutabaki kusalimiana tu
Sawa Boss, ila kuna ishu moja ya mwisho itabidi tuongee after then tutaendelea kusomana JF tu Madam.

Kuna ishu nitaku-Pitch mpaka ikiwa tiyari 100% ndani ya week hii maana kuna faza humu anaichonga baada ya hapo itakuwa Bless sana Manengelo.
 


Kila la heri boss..mie nipo tu!
 
Uvumilivu ndo silaha.
Watu hawajui biashara zinatupasua kichwa balaa.
Lakini mtu unavumilia tu.
Biashara mwaka wa kwanza ni kuvumilia tu na kuilea na kusoma mchezo.

Sasa yeye hata mwaka hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hawa watu waache kuchezea hela za watu.
 
Unanipaga mzuka wa kutafuta mishiko , Safi sana[emoji122]
Mie sitasahau niliwahi kosa hela ya kununulia chumvi mwaka 2010!hapo umemaliza shule kukwepa kukaa home unaamua kuolewa(😆😆)
Misiba na sherehe zikitokea hi automatic huna la kuchangia. Unasingizua mshahara wa mume haujatoka..kumbe hakuna wa kukupa hiyo hela😆😆!
Sitaki maisha hayo Teena .. tufate tu kanuni iko siku😆🤸😜💵👆
 
Uko na mtaji ama wataka kazi ya kufanya?
Ukiwawahi msimu wa mavuno ambapo wakulima wameshauza mazao ndio biashara za aina hii zinaleta tija zaidi.
 
Ukiwawahi msimu wa mavuno ambapo wakulima wameshauza mazao ndio biashara za aina hii zinaleta tija zaidi.
Kule viwandani aende tarehe za mshahara...yaan ahakikishe ameenda viwanda vyote. Hakosi kuuza! Ila ni kwenda kwanza na kusoma mazingira kwanza
 
Bora huyo..Kuna mmoja akifanya kazi 4dys..![emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]! Imagine umemchangia kila kitu[emoji3][emoji3]..alafu anakuja kukuambia kiwepesii ah sisy hapa hakuna ishu[emoji38][emoji38]..bye kwa huu Uzi ..
HILI Ni tatizo kubwa Sana.

Unakuta kijana kamaliza chuo kikuu, kaingia mtaani na kuambiwa na walimu wake.
"ili uwe tajiri inabidi usome Sana vitabu"

Anaenda kununua vitabu kibao ya "HOW TO GET RICH", anasoma anameza Kama vilivyo

Afu anakuja mtaan,
anakuta ndivyo sivyo, changamoto kibao kila akigeuka.

Unakuta ndo haya haya,
ANAGUSA HIKI, HAJAMALIZA HIKI KESHAGUSA KILE.

Ili mradi TU aupate ule utajiri alousoma kwenye kitabu.
 
Vijana wanakatisha Sana tamaa.
Wanafikiri mafanikio yanakuja kirahisi rahisi.

Ndo maana baadhi ya matajiri wamebaki kua na raho mbaya TU,

Maana mwngn akikumbuka magumu aliyoyapitia,

afu mpuuz flan anakuja kuchezea mtaji wake.

Aisee lazima akulambe shaba.
 
Mimi mwaka 2017 Kuna ishu nilipanga niijue abc zake ...Kuna mtu humu anazifanya na anaonekana succesful. .huez amini toka 2017 had huu mwaka hajawah nisaidia kwa kupata hints...unampm anakujibu salamu tu...ukishajieleza hakujibu...bas Kuna kipindi nilimind Sana..lakini huu mwaka amenipa nguvu Sana ya Mimi kutafuta taarifa sahihi...nilimchukia sana Sasa hivi Namuona ni shujaa Fulani...! Na Mungu alivyo mwema kwangu amenifungulia milango hatari....
Uvumilivu ni ngao...💕
 
Dada yupi unae mzungumzia..??
Na.....
Haina nguvu ya kunilaani, maana laana ni mavuno ya dhambi.
Ebu nenda ukabebe zege kijana, achana kuendekeza vilio kwenye mitandao aiseeee
Leo jumapili mpaka jumapili ijayo kama hutopata dhoruba lolote mimi nife.
Tunza hii comment ikifika jumapili ijayo njoo uijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…