Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

Mnguto na Kasongo hawakujiuzulu kwasababu za Yanga, bali kuitaja serikali mbele ya Ally Kamwe

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Kwa desturi za waafrika, watanzania na Karia, Kila nafasi ni ajira kamili, hivyo hatuna utamaduni wa kujiuzulu hata kama watu waseme nini. Hata Hawa hawakujiuzulu kwasababu wameboronga.

Uwezekano nii mkubwa sana kwamba huenda wamejiuzulu kwasababu ya kuitaja serikali kwenye kikao kama chanzo cha derby kuahirishwa, na Ally Kamwe bila kupelpelsa macho Wala kumung'unya maneno nae akalimwaga hewani. Na huo ndio Ukweli wenyewe.

Simba kuweni na amani, kachezeni derby maana mara hii msipotokea lazima mtasonya tu kwa kitakachowakuta.
 
Back
Top Bottom