Serikali ya Rais Samia kwa Kuiingilia TFF na Kubadili ghafla 'Schedule' ya 'Derby' ya Simba na Yanga Amani ikitoweka 'Kwa Mkapa' leo mtawajibika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
Upumbavu huu huwezi Kuukuta katika Taifa lolote lile lenye Watu ( hasa Watendaji na Viongozi ) makini na Wanaojitambua isipokuwa ni Tanzania tu pekee.

Kanuni ya 15 juu ya Utaratibu wa Mchezo ( Ibara ya 10 ) inasema Mamlaka husika ( TFF ) itatoa Mabadiliko ya muda wa Mechi ( Mchezo ) Saa 24 kabla ya 'Kick Off' na siyo Masaa Matatu ( 3 ) kabla ya Mechi husika Kuanza.

Kitendo kilichofanyika Leo GENTAMYCINE nakiita ni Cha Kipumbavu na Uwendawazimu mtupu hasa niliposikia kuwa Serikali ndiyo imeamua ( imeshinikiza ) badala ya Wahusika wenyewe Shirikisho la Soka ( Mpira ) Tanzania.

Kwa Upumbavu huu usiovumilika kama hivi Vilabu vikubwa na vikongwe nchini vikimpata Mwanasheria ( Lawyer ) mzuri na Kuishtaki Serikali na TFF kwa 'Uhuni' huu vinaweza Kulipwa Fidia Kubwa mno tu na hata Kuondokana na Umasikini wao.

Hivi unajua fika kuwa ndani ya Wiki Mbili nzima umetangaza kuwa 'Kick Off' ni Saa 11 na kuna Watu wameingia Uwanjani tokea Saa 4 Asubuhi wakitegemea Saa 1 Usiku Mechi inaisha na sasa itaisha Saa 3 Usiku unadhani hawa watakuwaje Kisaikolojia?

Mnajua fika kuwa Mechi ( Derby ) hii si kwa Wakazi tu wa Dar es Salaam bali hata wa Mikoa ya Jirani ( Karibu ) nao huja na leo walitegemea Saa 1 Usiku Mechi ikimalizika waanze Kurejea Mikoani mnadhani hamjasababisha Kero kama si Usumbufu mkubwa tu Kwao?

Kama sababu Kuu Tatu GENTAMYCINE nilizozibaini kuwa ndiyo sababu ya Muda Kusogezwa mbele kuwa ni 1. Kupisha Watu Kufuturu hasa Wachezaji, 2. Tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Mzee Mwinyi JNICC na 3. Mheshimiwa Rais Mama Samia kutaka nae Kuushuhudia huu Mchezo ina maana katika Vikao vya mara kwa mara kwa Mchezo huu haya yote hayakuangaliwa kama si Kuzingatiwa pia?

Serikali ( hasa kupitia Wizara husika ya Waziri Bashungwa na Katibu Mkuu wake wa hovyo hovyo Dk. Abbas ) na TFF ( chini ya Rais Mpuuzi ) japo ni mwana Simba SC Mwenzangu Karia kila mara huwa mnahimiza Watu kuhudhuria kwa Wingi Viwanjani je, kwa Upumbavu kama huu hapa mnadhani mnasaidia Michezo Tanzania au ndiyo mnazidi tu Kuididimiza?

Tayari GENTAMYCINE mara baada tu ya Tangazo hili la Mabadiliko ya muda wa Mechi nimeanza Kunusa Harufu ya Fujo Kutokea Uwanjani hasa hasa baada ya Mechi Kumalizika.

Hivi nyie Serikali na TFF kwa huu Usumbufu wa ghafla mliousababisha na jinsi Mashabiki wengi waliopo Uwanjani sasa mnadhani ikitokea tena na Timu yake pendwa ( siyo Simba SC yangu ) ikafungwa leo Amani itakuwepo pale Benjamin Mkapa Stadium?

Kuonyesha kuwa GENTAMYCINE nina uhakika muda huu huu nimetoka Kutaarifiwa na Watu waliopo Uwanjani kuwa kuna baadhi ya Viongozi wa TFF wametukanwa sana na Mashabiki na Mmoja wao hadi kutaka Kupigwa na Mashabiki na kakimbilia VIP Kujiokoa.

Sasa nawashaurini Serikali na TFF imarisheni upesi mno Ulinzi ndani na nje ya Uwanja kwani kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia nimeshahisi kunaenda kutokea Fujo moja Kubwa tu ama wakati Mechi ikiendelea au pale ikimalizika. Zingatieni huu Ushauri wangu na mfanye kama nilivyowaagiza ( nilivyowaambia ) hapa.

Tukio pekee tu ambalo linaweza Kupunguza kutokea kwa Fujo ( ninayoiona ) kutokea ni kwa Mechi hii Kumalizika kwa ama Suluhu ( ya Kutofungana ) au Sare ( ya Magoli ) ila Timu Moja ikipoteza tu Mashabiki wake watakuwa na Hasira Mbili 1. Ya Muda Kubadilishwa na Kusoteshwa muda mrefu Uwanjani na 2. Ya Kufungwa katika Mchezo husika.

Namalizia tu kwa kuwaomba Serikali na TFF kuwa bado hamjachelewa Kuwaomba Radhi Mashabiki ( Wadau wa Mpira wa Miguu ) nchini kwa huu Upumbavu wenu Usiovumilika na usio na Afya katika Soka la Tanzania mlilolifanya.

Na kwa wenye Macho Makali ya Kimaono na Kubarikiwa Akili nyingi tumegundua kuwa Kitendo hiki ni HUJUMA ya Makusudi ili Kuinyima Mapato makubwa Timu Mwenyeji ya Simba SC ambayo inachukiwa na Walioliratibu ( Walioamua ) hili Waziri wa Michezo Bashungwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Dk. Abbas ambao Wote si tu ni Mashabiki wa Yanga SC bali pia ni Wanachama Hai ya Yanga SC.

Simba SC ( hasa Mashabiki na Wanachama ) wala msiwe na Hofu tunajua tunachukiwa na Kuhujumiwa mno na Waziri Bashungwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas ila GENTAMYCINE nawahakikishieni hapa hapa JamiiForums kuwa Simba SC inashinda Mechi ya leo tena kwa Magoli mazuri, matamu, halali ambayo hata Malaika wa Mbinguni watayapenda na wameshayabariki pia kupitia Kwake Mwenyezi Mungu ( Allah )
 
Ungeweza kuwasilisha point yako kuwa bora zaidi pasi na kutumia lugha ya kukeresha au kebehi na matusi vinginevyo unaonekana kuwa no mtu wa fujo tuu.
 
Hivi kuna uhusiano wa uzinduzi wa kitabu cha Mwinyi na kuahirisha mechi? Kuna wakubwa walitak waione?
 
Mwanzoni umeeleza vizuri! Ila mwishoni umepuyanga baada tu ya kuwahusisha hao wanasiasa na hujuma ya mapato!
 
Hahahah sasaiv unamtaja kabisa Rais Samia wakati marehem hata kutaja initials zake ulikuwa unajinyea
 
Now wanatufukuza kwa gwaride la polisi kupita pale uwanjani na tayari wanatuzimia taa ili tuondoke 😁!
 
Back
Top Bottom