Aya mlio kuwa mnalalamika azam tv cjui nini nini 2uulizeni cc 2navyo kura raha ma muvi kupitia Mbc channel na ma entertain
Bakhresa anafaa kumrithi Kikwete uraisini!
ni mbovu, hela yangu nimepoteza bure
wewe co mzima yaan ch Kama Mbc muvi na fx,fox bado utasema azam mbovu?axee kwel binadam a2na shukran ivi ni kampuni gan itakuuzia Mbc,mtv,fox kwa 12500 permonth
Kwa jinsi mnavyosifia itabidi na mimi ninunue hiki king'amuzi January.
ATN na TRENET zinapatikana kwenye Azam Tv?
ni mbovu, hela yangu nimepoteza bure
tena iyo wwe waga ni live kupitia mbc alafu wanaonyeshaga na uefa kwa taarifa yenu
Mbona hata Premier League game ya Arsenal na Chelsea tumeona live, channel 114
Mbona hata Premier League game ya Arsenal na Chelsea tumeona live, channel 114