pamoja na chanel nzuri walizonazo azam tv,pia za kibongo walikuwanazo toka mwanzoni ni tbc1,chanel 10,clouds tv,tvz na sasa wameingiza itv na eatv nawapongeza sana kwa hilo ila tunaomba muweke na star tv mapema iwezekanavyo.....nawasilisha...!
Kwa wale mlio nunua visimbuzi vya Azam tv,vp huduma zao kwa ubora wa picha,sauti na chanel zilizomo
vinauzwa wapi, wanazo chanel ngapi?
Mimi nilinunua pale AzamTv Tazara, wana chaneli 48 kwa sasa.
Wapo vizuri mkuu, picha na sauti ni super! King'amuzi chao ni DVB-S2 na ni HD.
Mimi nilinunua pale AzamTv Tazara, wana chaneli 48 kwa sasa.
duhh itabidi niitafute SHERIA KWA KISWAHILIMimi nilinunua pale AzamTv Tazara, wana chaneli 48 kwa sasa.
Hata blog hawanaHao azam kama wako kibiashara watatangaza tu ikifika muda...
laki na ishirini( 120000) then malipo ya kila mwezi ni sh elfu kumi na mbili na elfu mbili miatano( 12500)Wanaviuza kila kimoja bei gani?
Ni MPEG2 au MPEG4?
Kwa wale mlio nunua visimbuzi vya Azam tv,vp huduma zao kwa ubora wa picha,sauti na chanel zilizomo
nahisi channel za kiarabu zitakuwa nyingi