Gemmy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,211
- 823
huyo hajui kama hadi mahali wanajilipia wenyewe kwenye familia zao bila wazazi kujuwa.
hali ni mbaya mkuu
huyo hajui kama hadi mahali wanajilipia wenyewe kwenye familia zao bila wazazi kujuwa.
hali ni mbaya mkuu
kutongoza naogopa na kujitolea mahali pia siwezi! The Boss
Kwenye hivi vitu ngoja nibaki huku huku analogiaHujahamia digitali naona
mbona poa hata tukitaka kupigana chini tunaachana kiutu uzima!tukimisiana kama kawaida JE UTANIONAJE?Mi nilikuwa na mpanho si wa kukutongoza but wa kukuaproach kiutu uzima tu! JE UTANIONAJE.?
Mi hata ukianza kunitongoza leo!! Ntafurahi sana wala sitakufikiria lolote kabisaaa... Bora usianze baby nataka touch sreen, mara ooh nataka flat sreen 42 inch nk. Sasa hapo ntakufikiria kitu.Hivi kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume!
Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiriaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike?
We upo kijiji gani?wenzio huku mjini wadada,wanatutongoza kila siku