Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,291
- 2,466
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa