Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

Status
Not open for further replies.
We utakuwa mgeni wa Kariakoo. Huwa wanaamua tu na kuanza sala zao
Hakuna cha Kariakoo au Bariakoo.. Tunswali kwa vipindi na hapo tulipo wakati ukiwadia TunaSQimu SWALA !! iwe barabarani au ktk mvua au jua..Hata tukiwa New York au Parioss au Popote SWALA laima litimie..Allah katupa RUHUSA na Hakuna Nyani ayyte atakaae Stopisha !! PINGA/PINGENII !!!!
Niwape mifano.......................................................!!
 
telegraph.co.uk
worship on to streets,
620 × 388 - 133k - jpg
nationalpost.tumblr.com
France bans street prayers
1280 × 853 - 130k - jpg
streetyouth.wordpress.com
that the street youth have
847 × 635 - 122k - jpg
 
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?

Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Asante bosi umeniwakilisha vyema.
 
Mbona sisi hapa mtaani tumeletewa kwaya na vinanda hatulalamiki? Mtaa ambao una 95% Islam mtu kaamua kutoa kwaya kanisani kaileta mtaani hata simu hupokei kwa kelele na bado hatulalamiki tena ni kila siku. Utakuwa wewe mpita njia tena hupiti kila siku na hilo tukio ni Mara moja kwa wiki na hazizidi dk. 40 ndio mtu anakuja JF kulalamika, nimeshangaa sana.
 
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?

Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Ukiona hivyo ujue watu wengi ikiwemo na wakristo wanahama dini zao nakuiingia ktk uislam kla kukcha na ndio maana mishiki haitoshi watu wanaingia kwenye uislam kla kukcha kwa hvyo hata waksema wabomoe waongeze ukubwa wamsikiti baada ya mwaka utakuwa hautosh tena kwa idad ya watu wanaoingia katka uislam na uzur Wa uislam unaruhusu MTU kufanya ibada popote iwe barabaran, porin, uwanjani, kwenye gar, nakwengineko ilmrad kuwe safi na tohara
 
Wagala kwa chuki hamjambo, umetoka ngudu umekuja dar na ww unajifanya Unatoa maona juu ya misikiti ya dar punguani kweli wewe, Rudi kule kwenu kulikojaa mabucha ya nguruwe na makanisa hapa dar tuachie wenyewe
 
Hao watu Akili zao zinaishia hapo tu. Hawana ziada ya kuhamisha majengo yao wala kupanua huduma za Ibaada.
Ukiwaeleza watakujibu ovyo!!! Mungu wao yuko hivyo hana njia mbadala.
Usiombe ujenge 100meter jirani yao, watakufanya kiziwi na mjiga kwa kukuamusha kwa makelele.
Ni karne hii ambapo huwezi tumia technologia ya mawsiliano Kisa Mungu wao anataka Noise.
Huu ni Ugonjwa mbaya sana, unafanya watu wawe nusu irrational (opium of the people .. Karl Max), sio ajabu kujenga vikanisa, vimisikiti mpaka hata petrol station. Sasa watalazimisha Makoroboi, kariakoo ni sehemu za Ibaada.
Nadhani viongozi wao wana hitaji namna nyingine ya kuona mambo na kupisha ustawi wa jamii kwa manufaa ya jamii na sio kwa manufaa ya Kadini fulani. Raisi Mulika hako kaeneo.
Nina hakika wewe jamaa utakuwa unamkalia Mwanaume mwenzio, kwa Mwanaume rijali hawezi kuimba taarabu za Khadija Kopa kama wewe ulivyotoa povu hapa kujifananisha na Khadija mipasho
 
Mtoa mada wewe hayo uliyoya andika ni madogo kuliko yaliyopo moyoni mwako ! Hapo ndio ukafiri wako unakamilika , hututishi kitu tunasema kufa na uchungu wako ikikuuma sana kanyinyonge
 
rudi kwenu porini, mbona mnawasumbua wenye mji.
Wewe ni Hizbu au Chotara? Hii nchi haina Dini lakini Watu wake wana Dini na kuna wasio na Dini... sasa dii yako isiwe kero na kama wewe binafsi ukiigeuza kero sidhani hata huyo unayemuabudu atakuelewa...
 
Inashangaza mtu unayejiita una akili timamu, Unawaza na kuandika post hii ukaona ina mantiki... Hivi ni mitaa mingapi watu huwa wanafunga njia ili wapate kusali tena siku ya ijumaa tu!, tena sala ya saa moja tu... Halafu ni maeneo mangapi watu wanakesha usiku kucha kupiga kelele za kusema wanamsifu mungu wao!?!... Hivi wewe umezaliwa wapi, nchi ipi, umekulia wapi mpaka ufike Kariakoo uanze kushangaa na kutokwa na mapovu, kisa watu wanafanya ibada kwa mungu wao... Acha fikra chafu za udini udini zisizo na maana yoyote... Ukijiskia kuishi unavotaka, zipo nchi zinaSheria unazowaza, kama vipi tafuta nchi hizo uhamie, Nchi hii ipo neutral...
 
Kwa mtu mwenye busara na hekima zake kabisa kabisa waswahili ni watu wa kuwavumilia sana otherwise mtapigana, kuna ile njia ya akachube yan hawa jamaa mtu anaamka anaamua kufunga bara bara wanaudhi sana kwa kweli, sio issue ya kuwa na udin, me naamin hata waislamu wenyewe huwa wengine wanakereka, sababu mtu unakuwa umeshaacha njia kuu unafika karibia na mwisho njia wamefunga hata kuweka kibao huku mwanzon hakuna, uswahili, uswahili hatuwez kuendelea kwa namna hii, ukisema utaambiwa we mdini, tubadilike jamani.
 
Mleta mada Leo amevurugwa kwa kwanza amekuja kwa kupanic as if ametukaniwa Wazazi wake, mi namshauri atembee awone Uganda na Kenya wanaswali hivyo hivyo barabara za mijini na mara nyingi watu wanakuwa ni wengi na misikiti kuja kutokana na mchanganyiko wa wakazi, wapita njia na wafanyabiashara na hili huwezi kulipinga ktk imani ya mtu.
Mleta mada acha udini wa kuingilia za watu kama ingekuwa ni msiba na hilo ungelizumzia vp? Maana ibada ya waislam ni dakika chache sana ikizidi ni nusu saa kama uliona njia hakuna ungerudi ulipotoka.
 
Kwa mtu mwenye busara na hekima zake kabisa kabisa waswahili ni watu wa kuwavumilia sana otherwise mtapigana, kuna ile njia ya akachube yan hawa jamaa mtu anaamka anaamua kufunga bara bara wanaudhi sana kwa kweli, sio issue ya kuwa na udin, me naamin hata waislamu wenyewe huwa wengine wanakereka, sababu mtu unakuwa umeshaacha njia kuu unafika karibia na mwisho njia wamefunga hata kuweka kibao huku mwanzon hakuna, uswahili, uswahili hatuwez kuendelea kwa namna hii, ukisema utaambiwa we mdini, tubadilike jamani.

England na German kwa Macho yangu nimeshuhudia watu wanaswali nje siku ya Ijumaa. Sipingi hoja yako napinga kuihusisha na uswahili uswahili wa Kitanzania
 
acha zako wewe sio mkristo
Frendin Take it easy..hata kama unamkana mwenzio ..ila kasema kweli..Lakini hata wenzetu waKristo wakiswali au kuhubiri popote..Siye hatuta MIND ni jambo la mkusanyiko wa jamii kusikiliza na ku Kuishi na wenzao kwa amani..
Hardly Swala inachukuwa dakikka chache..!! acha maisha ya song mbele..life goes on!!!
 
Mimi nipo karibu na Kanisa la FPCT hapa ni full mziki utafikiri tupo Congo, na si j'pili tu huanza J5, Ijumaa, j'mos na J'pili lkn huwa tunavumilia tu kwakuwa ni imani yao inawaruhusu siwezi kuwakosoa au kuwavunjia heshima
 
Mtoa mada nawe ni JIPU tosha. Ile huwa inatokea ktk ibada maalum. Ni kama inavyotokea misiba mitaani na ukakuta turubai limewekwa watu wanahani au hujawahi kuona au kisa tu unaichukia hiyo dini au?
Hayo maeneo ya biashara yameyakuta hayo majengo ya ibada.
Pia ynakir kuwa ni maeneo ya kibiashara soo mkusanyiko wa watu ni mkubwa pia, ni lazima yajengo yale yaonekane madogo japo ni makubwa kwa wakati mwingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom