luu masoud
New Member
- Jan 9, 2016
- 4
- 0
Yote chuki hyo jitahid nafc yko kuiach chuki haifai
Hahhahahahahahaha Mkuu umenifurahsha et utadha typo congoMimi nipo karibu na Kanisa la FPCT hapa ni full mziki utafikiri tupo Congo, na si j'pili tu huanza J5, Ijumaa, j'mos na J'pili lkn huwa tunavumilia tu kwakuwa ni imani yao inawaruhusu siwezi kuwakosoa au kuwavunjia heshima
Na kote huko kuna misikiti pia??agrey, kipata, Lind, Manyema... Na kote huko ni kero kila Ijumaa, Ila kwa tulio zoea tupo poa
Mkuu kuna tofauti kati ya kufunga bara bara na kuswali nje, hakuna mtu anachukizwa na kuabudu kwa watu wengine, tatizo ni pale tunaposhirikishana ibada kwa LAZIMA.England na German kwa Macho yangu nimeshuhudia watu wanaswali nje siku ya Ijumaa. Sipingi hoja yako napinga kuihusisha na uswahili uswahili wa Kitanzania