Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

Mnaposwali msituharibie siku na sisi wengine

Status
Not open for further replies.
we jamaa acha udini watanzania ni kitu kimoja,inabidi tuvumiliane kwani hata waislamu nao wanavumila mengi,amani tuliyonayo ni kitu kikubwa,dini zote zinahububiri amani mtu wa type yako awe ni mkristo muislamu au mpagan ni wa kuogopwa kama ukoma,wewe ni kijana nchi ikichafuka kutokana na uchochezi unaoanza taratibu kama hivi una nguvu za kukimbia na kupambana wafikirie pia bibi zetu babu zetu mama zetu na watoto wetu,tujifunze kutokana na yanayowapata wenzetu,chezea vyote ila sio imani ya mtu unakosea sana
 
Mimi ni mkristo ila sina tatizo na uislamu. Na dini ya kiislamu angalau kwa haraka ukiifuatilia ina ukweli kama 90% kwa hiyo ni dini nzuri. Nikirudi kwenye mada ni kuwa hilo la kufunga barabara halizuiliki kutokana na sababu za kiimani. Ikumbukwe waislamu hutakiwa kuswali mara 5 kwa siku ndo maana misikiti ipo karibu na watu kuwaondolea usumbufu wa kuifuata mbali. Sasa katika mambo ya ibada kuna wakati watu huwa wengi hivyo yawapasa kuchukua na sehemu ya barabara kwa muda huo mfupi. Wito wangu ni kwa serikali kupiga marufuku walokole wanaotusumbua kwa mikelele yao.
 
Wakuu hata hapa Morogoro kuna msikiti karibu na roundabout ya Masika wanafanya mambo hayohayo. Kila ijumaa wanafunga barabara
 
Mimi ni mkristo ila sina tatizo na uislamu. Na dini ya kiislamu angalau kwa haraka ukiifuatilia ina ukweli kama 90% kwa hiyo ni dini nzuri. Nikirudi kwenye mada ni kuwa hilo la kufunga barabara halizuiliki kutokana na sababu za kiimani. Ikumbukwe waislamu hutakiwa kuswali mara 5 kwa siku ndo maana misikiti ipo karibu na watu kuwaondolea usumbufu wa kuifuata mbali. Sasa katika mambo ya ibada kuna wakati watu huwa wengi hivyo yawapasa kuchukua na sehemu ya barabara kwa muda huo mfupi. Wito wangu ni kwa serikali kupiga marufuku walokole wanaotusumbua kwa mikelele yao.
Kwanini msijenge misiikiti mikubwa?
 
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?

Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Kwan inatokea siku zote au ni siku moja kwa wiki acha kutoa povu

Isitoshe hako kavitz kako ndo unatia fuuuujo

Waache watu waabudu
 
Acha uongo wewe sio mkristu

Mimi ni mkristo ila sina tatizo na uislamu. Na dini ya kiislamu angalau kwa haraka ukiifuatilia ina ukweli kama 90% kwa hiyo ni dini nzuri. Nikirudi kwenye mada ni kuwa hilo la kufunga barabara halizuiliki kutokana na sababu za kiimani. Ikumbukwe waislamu hutakiwa kuswali mara 5 kwa siku ndo maana misikiti ipo karibu na watu kuwaondolea usumbufu wa kuifuata mbali. Sasa katika mambo ya ibada kuna wakati watu huwa wengi hivyo yawapasa kuchukua na sehemu ya barabara kwa muda huo mfupi. Wito wangu ni kwa serikali kupiga marufuku walokole wanaotusumbua kwa mikelele yao.
 
Dini zisiwe chanzo cha kuwaudhi wengine. Huwezi jenga msikiti barabarani alafu useme eti kwasababu mungu yupo. Huo ni ufinyu wa akili. Na pia lazima mjue hii nchi ina mchanganyiko wa watu wa imani tofauti. Kufanya hivyo sio sawa. Mjipange
Misikiti kariakoo imejengwa mipya, au ileile ya enzi zile?
 
Mimi mkristo mluter na tena nafanya kazi huko huko city centre na hilo mnalosema linakera tuwavumilie ndugu zetu waislam haya sio mambo ya kujadili hata wenyewe hawapendi mambo mengi ya hii serikali na udin na upendeleo ULIONANO KWENYE HUDUMA ZA ELIMU NA KADHALIKA
Tusiongee sana kuhusu hayo tupotezeane Yapo mengi ya kulalamikia mitaan kwetu yashughulikiwe. UVUMILIVU NI SIFA NZURI
Fikirini mara mbili WAAFRICA tusifanye hivo hatutabarikiwa MUNGU SI MMOJA NA AMETUAGIZA UPENDO
ASANTENI MKIONA WAZO LANGU NI BORA
AU UNASEMAJE mshana jr
Hata hivyo nimependezawa na mjadala kuwa huru watu kusema ya moyoni ni vizuri na sio kujadili kimya kimya wenyewe
 
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?

Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Mkuu hii nchi ina historia yake mkuu kabla hujaandika hapa jukwaani fikiri kwanza unachoandika kina tija?? Jifunze pia baadhi baadhi ya historia zilizofichwa maana skuhizi kila mtu mjuaji
 
Ingekuwa vyema ungeanza kuwashauri hawa jamaa wanaotupigia kelele usiku kucha katikati ya makazi ya watu na hizi ngo zao za kupiga hela wakiita ni makanisa
mkuu kuna sheria tayari kuhusu hilo kwa nyumba zote za ibada,clubs,bar,vigodro also viwanda.,inatakiwa wawe wamelipia kiasi cha tsh 5m-10m ili aruhusiwe kufanya respective noise pullution
 
Toka uhuru tumeishi kwa kuvumiliana sana, inaonekana wewe ni mkimbizi unataka kuleta chokochoko.!!!
 
Unahc umechangia la maana au umeshrk kutweet na ww uonekane uwepo wako..!!..hembu ucshabkie hl ktk namna ya kuendelea kugawa na co kujenga onyesha umaana wako kwa kuegemea zaid vnavyotuunganisha co vnavyotugawa na ujfunze co ksa una maneno utyp saa nyngne co kla lililo knywan useme jarbu kutema mate chn labda hyo kiu yako ya kunena itaisha
 
Nyie wageni msianzishe balaa hapa Darul salaam iko hivyo toka enzi inaitwa mzizima !kukaribishwa mjini isiwe tabu mtahama ohoo!
 
rudi kwenu kwenu porini dar haikuhusu
Ndio tatizo la kuwapokea hawa mbwigila kistaarab !hawajui jamii ipi ni majority katika maeneo tajwa !hawajui mila silka na imani za wana mzizima a.k.a wana darul salaam!ipo haja wakuja wapewe vibali maalum kuishi dar na maeneo menginebya wastaarab!
 
Dini zisiwe chanzo cha kuwaudhi wengine. Huwezi jenga msikiti barabarani alafu useme eti kwasababu mungu yupo. Huo ni ufinyu wa akili. Na pia lazima mjue hii nchi ina mchanganyiko wa watu wa imani tofauti. Kufanya hivyo sio sawa. Mjipange
kama wamejenga barabarani si wangekuwa wameshabomolewa? Fukuto la chuki za dini limekujaa mpaka kujenga hoja unashindwa
 
Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?

Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
chuki zimekujaa masikini,umekuwa kipofu kabisa kwa chuki za kidini...ndio mana huwa huishi kulalamika .pole ! siku ukiwa na "macho" najua hutapost tena "ujinga" kama huu. tumekuzoea...mbwa ukimjua jina hakupi tabu.
Mbona nikiweka mada humu mnazinyofoa ndani ya muda mchache?

Yani nimewachoka aisee. Mnakera. Kwanza sijajua kama ni kwangu tu au la mmebana zile icon kwenye eneo la compose. Hakuna kitu. Mada yangu ya ubaguzi wa makabila siioni popote. Juzi tu mada namuandikia Mohamed Said wa jf mmeiondoa.

Mnataka niweke mada za kiaina gani? Mbona kuna mada kali sana za kidini na mengine mengi tu zipo na zinaenda hadi peji kumi? Haya, mada zangu zingine mnaziunganisha bila sababu ya msingi wakati utakuta ziko mada zinafanana kama kuku na zipo jukwaa moja na zinapeta.

Pengine mtuambie kuna watu mnawafuatilia kwa karibu kila wanachopost humu. Pengine mtuambie mnafuatilia RADICALS na kuwamonitor kuliko wengine. Nitafurahi nikipata majibu. Hivi kuongelea ubaguzi wa makabila kwa uwazi kuna tatizo?

Futeni post za kijinga na sio topic tafadhali.
 
Nyie mbona viongoz wenu dunian wasuport ushoga cc hatuogei. Mnakera bwana na mambo yenu acheni au mungu wenu anapenda hayo mambo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom