Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?

Pole ya nini hapo.Baada ya kuambiana hongera mnaambiana pole tena kama mpo kwenye msiba.
 
sitoagi pole zaidi ya kusema ahasante kwa huduma
 

shetani...!
 
Inategemea kama mwanaume ana kitambi kikubwa hivi

kama kamlalia mdada katika missionary style lazima dada apewe pole
 
Pole anapewa alieshindwa mechi. Mfano hawa wanawake wa pwani wana maneno sana so ikitokea kashindwa gemu mpe pole tena kwa sauti na tabasamu. Na yeye atakushukuru. Nawasilisha.
 
Aliyeambukizwa maradhi anapaswa kupewa pole.
 
mi nadhani pole hutolewa kwenye suala ambalo kwa namna moja ama nyingine limemuumiza,limemkera au limekwenda kinyume na matakwa ya mhusika...... je kupeana mapenzi nako kunaenda kinyume na matakwa??? pole haistahili hapo maana ni jambo la starehe na ni makubaliano ya wahusika wote wawili.....
 
Labda kama mnapiga kura ya wazi....Kitu ambacho sijawahi kuamini kama kipo!

Vinginevyo kila mtu anakufa na lake moyoni......someone might be cheering while the the hubby is deeply in sorrow!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…