Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,517
- 185,651
Pesa pia tunapenda mnooo mnoo! Kwakweli Mbarikiwe sana mnaotupa hela
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
HahH.kwamba nitatembea kifua mbele baada ya kimoko..na kumjib chochoteAkikutumia tena text ya kutaka simu
Nenda kastue kimoko, halafu rudi uisome hiyo text tena, utakuja kusimulia hapa Mabadiliko utakayoyaona.
Pesa imekua ngum mjombaKama hutaki majukumu nani alikulazimisha uingie kwenye uhusiano,
Kwakwel sio na korona hii..utume hela kwa mama.utume hela kwa mdogo wako.umpe njia kuu na mchepuko nao ununulie simu.hapo bado ununue chakula cha quarantine .hujaweka mafuta..hujala..wengne tuna mashamba tumeshalima bado unalihudumia shamba shamba boy anakutumia msg kila kukicha.biashara zmebuma huko mitaan umebak kulipa kod za frame tuu..manina..nasemaje hyo simu labda nimpe lak mbil ila sio lak4Pesa pia tunapenda mnooo mnoo! Kwakweli Mbarikiwe sana mnaotupa hela
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakwel sio na korona hii..utume hela kwa mama.utume hela kwa mdogo wako.umpe njia kuu na mchepuko nao ununulie simu.hapo bado ununue chakula cha quarantine .hujaweka mafuta..hujala..wengne tuna mashamba tumeshalima bado unalihudumia shamba shamba boy anakutumia msg kila kukicha.biashara zmebuma huko mitaan umebak kulipa kod za frame tuu..manina..nasemaje hyo simu labda nimpe lak mbil ila sio lak4
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha sifa Katoe sadakaMkuu nipasie huyo mrembo nimetoka kuuza machungwa na limao niko vizuri atapata hiyo simu anayotaka
Aaah.. bila shaka katakuwa kanakuona boya. Ushauri wangu.,usitoe pesa wala simu.
Mmmh alaf wewe umpe nini?😂Hiyo hela bora unipe Mimi boss nifanyie nauli niende nje nikapige kazi huyu kirusi akiisha
Atabarikiwa tu😂😂Mmmh alaf wewe umpe nini?😂
Lazima utembee Kifua Mberee(in his voice)HahH.kwamba nitatembea kifua mbele baada ya kimoko..na kumjib chochote
Sent using Jamii Forums mobile app