Mnapenda sana simu nyie watoto...

Mnapenda sana simu nyie watoto...

Uzi umekamilika,
Mkuu mwambie asubiri toleo jipya mwezi ujao linatoka izo anazotaka sio imara hazivumilii shida
Wakati anasubili we unajitafnunia vitu vyako
Hahaha..yan hata kuchat nae namkwepa.na ana expect hii sikuu ndo apate simu..dahhh...akat dem wangu mwenyew anatumia sim imechokA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hauna uwezo ndugu usiige kunya kwa tembo!
Ukimpa halafu we mwenyewe kwangu kukavu tia mchuzi walahi naenda kuchukua wale daktari wa milembe tukufate ukakae mule ndani utuepushie na mambo mbalimbali..[emoji23]
Halaf cha ajab sasa.demu wangu sim yake imechoka kwl.si bora nimpe hyo hela dem wangu orijino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaf cha ajab sasa.demu wangu sim yake imechoka kwl.si bora nimpe hyo hela dem wangu orijino

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Mungu baba na aturehemu wanaume wote kweli nimeamini ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano!!

Mkuu hebu mjali Shem acha mizinguo unatuaibisha wenzio jali njia kuu hao wengine ni wazamini wa kipindi tu..😂
 
[emoji23][emoji23]
Mungu baba na aturehemu wanaume wote kweli nimeamini ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano!!

Mkuu hebu mjali Shem acha mizinguo unatuaibisha wenzio jali njia kuu hao wengine ni wazamini wa kipindi tu..[emoji23]
Kabisa mkuu....roho inauma sana..yaan simpi..na navoona michango ya wadau ndo kabisaa.asahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom