Mnapenda sana simu nyie watoto...

Mnapenda sana simu nyie watoto...

Unanunua simu ya nini wewe, si ana wazazi wake au?

Mapenzi ya bongo kwa wadada imegeuka kuwa biashara na sehemu ya kuchuma mali kutoka kwa wanaume, simu unapaswa kuitoa wewe kama zawadi na sio yeye akuombe.

Kama ushakula vyombo, mwambie huna hela. Akikuacha achana nae mzee, kwanini ujitese maisha yenyewe haya.
 
Acha tuu..bila kutia neno kidogo vtoto vya chuo kuvipata ni ishu...niliwai jichanganya nkalopoka ntakutaftia sim nyingne..bas hyo kaul inanitafuna

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sound huwa haziepukiki pale unapoona hana kitu flani, unajifanya upo tayari kufacilitate ili kunyoosha njia
 
Akikutumia tena text ya kutaka simu

Nenda kastue kimoko, halafu rudi uisome hiyo text tena, utakuja kusimulia hapa Mabadiliko utakayoyaona.
 
Kama hutaki majukumu nani alikulazimisha uingie kwenye uhusiano,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom