Wewe mjinga kila saa unawaza CHADEMA inaonyesha jinsi gani wanavyo kunyima usingizi....utakufa kwa kuwawaza CDM na ukicheza watakuoa mwaka huu...Nitawaambia wale masenior bachelor wa CDM wawe wanakuja hapo kupunguza stress
Judith, unajua nimepa-Miss sana A-Town, hasa hapo Mata...... Baa, kuna Ugali wa Muhogo mtamu ile mbaya............... na wahudumu wa hapo ni wakarimu kweli..............
ukisikia mme wako yuko ****** bar nenda haraka ukalinde mali yako
Usimtishe bana.............unajua wana nidhamu sana, mpaka uwababaikie, kama ume-cool na viroba vyako, au kama unapiga Gomba wala hawasumbui...........
November natia timu chalii yangu, nitakutafuta tukale ndafu kwa Morombooo............. mbona hujanijibu kuhusu KWA SIFAA.........!?
nyama iliyosagwa na kuwekwa kwenye utumbo mpana wa ngombe halafu inabanikwa.hii kitu tamu ile mbaya!Hivi hiyo Mtura ndio kitu gani?
kuna maid asiye na ****** duniani??ishu hapo ni ukubwa wa ******maids wote wanamatako
nyama iliyosagwa na kuwekwa kwenye utumbo mpana wa ngombe halafu inabanikwa.hii kitu tamu ile mbaya!
Hii kitu safi sana,nikifika Nairobi ilikuwa lazima niipate hii na tusker baridi.Kumbe ishafika Arachuga?Safi sana nitatembelea hapo.nyama iliyosagwa na kuwekwa kwenye utumbo mpana wa ngombe halafu inabanikwa.hii kitu tamu ile mbaya!