Mnapajua Makalio Baa Arusha.....................?

Duh alafu huyu jamaa yako hapo pichani anapiga gomba ile mbaya vp cku hizi ameacha?moshi arusha je? Manake namfaham sana yuyo jamaa aisee!!!
 
Duh alafu huyu jamaa yako hapo pichani anapiga gomba ile mbaya vp cku hizi ameacha?moshi arusha je? Manake namfaham sana yuyo jamaa aisee!!!

Ndio kweli unamjua anakamata Gomba mbaya, kwa sasa sina uhakika kama anapiga Moshi Arusha, ila mara ya mwisho alikuwa na Cruser moja anapiga Kwa babu Loliondo
 
jamani!!!!!

mtambuzi na jackbauer, mazungumzo yenu yamenifurahisha sana.

mbarikiwe!!

Judith, unajua nimepa-Miss sana A-Town, hasa hapo Mata...... Baa, kuna Ugali wa Muhogo mtamu ile mbaya............... na wahudumu wa hapo ni wakarimu kweli..............
 
hiyo bar nyoko!si ndio ipo karibu na mianzini kwa mollel!wahudumu wake ni wa kipekee!huwezi kuwabeba mishkaki katika toyo
 
ukisikia mme wako yuko ****** bar nenda haraka ukalinde mali yako

Usimtishe bana.............unajua wana nidhamu sana, mpaka uwababaikie, kama ume-cool na viroba vyako, au kama unapiga Gomba wala hawasumbui...........

November natia timu chalii yangu, nitakutafuta tukale ndafu kwa Morombooo............. mbona hujanijibu kuhusu KWA SIFAA.........!?
 
hiyo bar nyoko!si ndio ipo karibu na mianzini kwa mollel!wahudumu wake ni wa kipekee!huwezi kuwabeba mishkaki katika toyo

Ha ha ha haaaaaaaaaa............. Muuza Sura umeuaaaaaaaaa..... Teh Teh TehTeh..................
Hivi watakaaje kwenye Toyo wale.................. Hivi uliwaza nini mkuu...............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom