FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,530
- 46,614
Yuyule aliyejenga Ubungo flyover? Au yupi huyo?Wale wanaopenda kusema tuweni Wazalendo kwa Nchi Yetu. Safari hii mtakuwa wenyewe. Kama mnataka tuwe pamoja basi Tendeni Haki. Na Haki hiyo ionekane.
Tuanzeni kuonyesha Uzalendo wetu kwa kumkemea Bw Yule Mbaguzi. Aliyepanda mbegu ya chuki na visasi baina ya Vyama vya Siasa, Chuki kati ya Vyombo vya Dola na Viongozi wa Upinzani. Kati ya Serikali na Wananchi.
