Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

Acha kushabikia fikra za kitumwa kwa kudhani ni ushindi. Jitambue na kataa upuuzi. Utambue ukoloni mambo leo ni nini.
Bora ukoloni mamboleo kuliko kuuwana sisi kwa sisi,tunapigana risasi mchana kweupe,tunabaguana kisa huyu ni chama kingne sikuletei maji,hospitali,barabara ,shule huo upumbavu unausemaje? Bora ukoloni mam boleo mara mia
 
Tuache utani mzungu hajawahi kuwa na mapenzi na muafrika hata simu moja
Na ikitokea basis yupo kwa ajili ya opportunity ..acha tuone

Tukija kushtuka
Sasa mwenye mapenzi ni nani? Anaebagua watu kwa mambo ya uvyama? Anaeua watanzania ndugu zake kisa wamempinga? Anae tamani ndugu zake waishi kama mashetani?
 
Sisi wala hatuna wasiwasi kwa kuwa tunashinda asubuhi. Nyinyi ambao mnategemea beberu Robert Amsterdam ndiyo mnalo.
Mtashinda au tume itawatangaza kua ni washindi?
 
Wakuu, nimeona mjadala wa baraza la Congress la Marekani likiijadili Tanzania Jana na hapo hapo Leo ubaloz wa Tanzania umetoa statement ya kuonya wale woote watakaokuwa chanzo cha vurugu na kuharibu Uchaguzi.

Wakuu wale ni MABEBERU tujitahid Sana kukwepa uvunjivu wa haki wale wenzetu ukisikiliza Kwa makini utagundua kuwa wanafuatilia kila kinachopangwa na kinachofanyika na wanadata zooote kuunganisha na hii statement ya ubalozi tunatakiwa tujiangalie kuna mipango inapangwa Juu Ya wale watakao kuwa chanzo cha kuvuruga Uchaguzi Kwa kunyima haki za watu, angalia ile statements Ya Leo imesema Kwa kushirikiana na nchi za kidemocrasia watafikiria hatua stahiki, hilo neno ni kubwa na linaonesha kuwa kuna mipango mikubwa inapangwa na nchi nyingi za ulaya kutaka kumwadibu yoyote atakaekuwa chanzo cha kunyima haki Au kupora haki najua wapo watakaosema ah wapi ah wapi Lakini kumbuka kuwa, hata hizo Data za Uchaguzi mlizoziweka kwenye hiyo laptop yenu wanaziona na wao ndio wanaokurusu usiangalie na kuziedit

Mkiambiwa kuwa lisu ni mpango wa MUNGU muwe mnaelewa, kila mbabe na mbabe wake

Hivi mnajua hilo neno walilosema kuwa kwakushirikiana na nchi zenye democracy mnajua maaana yake? Wameishajipanga kumwadibu yoyote atakaepora haki, hivi nyie mnaijua ile kampuni Ya kisheria inayomsimamia lisu? Ile inamtandao kwenye nchi zote za ulaya na inaweza kushawishi chochote kwenye nchi yoyote na nyie hamjui kudhungu, wakiongea na watu wenye ushawishi Kwenye hizo nchi mtashangaaa mambo yanakuwa mambo haya endeleeni kusema kuwa msiponichagua.

Endeleeeni kusema kuwa ole wenu msiponichagua, wakuu msicheze na Yule Robert wa ile kampuni Ya kisheria Ya kimataifa, Yule ana Wateja wake ambao ni watoa maaamuz huko ulaya, ana Wateja wake ambao ni wajumbe kwenye vyombo vya maaamuzi huko ulaya na Marekani atawashawishi watapendekeza Halafu serikali zao zitabaki na issue ya utekelezaji huku mtaanza kukumbiana mmoja baada Ya mwingne mwisho mnajikuta mnaanza nilikuwa natekeleza sheria, Mara niliamlishwa na wakubwa Wangu, na mkumbuke kuwa wale wanaweza kuamua wakasema sisi tunamtambua fulani ndio rais wa Tanzania haya mtaenda wapi? Wakisema hivyo mtaenda wapi? Maanaa watakachofanya ni kukuondoa wewe Au kuelekeza misaada yoote Kwa huyo wanaemtambua.
USITUTISHE EBO
 
Sasa mwenye mapenzi ni nani? Anaebagua watu kwa mambo ya uvyama? Anaeua watanzania ndugu zake kisa wamempinga? Anae tamani ndugu zake waishi kama mashetani?
Kwahiyo wewe msimamo wako ni upi?
Kwenda kumjusudia mzungu?
 
Kinachoenda kutokea ni kuwa lisu ndio rais wa sita wa jamhuri Ya muungano wa Tanzania hata Kama tume haitamtangaza atatangazwa na wananchi na ukitaka kutembeza marisasi unadakwa na walioengeneza hayo marisasi hahahahaha inaenda kunoga hii

Huyo kibaraka wa wazungu hawezi kukanyaga Ikulu. Tunaothamini taifa letu tupo wengi wa kutosha kumuambia NO way siku ya uchaguzi. Amejichanganya vibaya sana kwa kuacha kugombea ubunge. Sasa atakuwa kada wa CDM asiyekuwa na jukwaa lolote la maana!
 
Mtu anayeshirikiana na foreign actors kuhujumu taifa lake anastahili kuitwa jina gani jingine?
Umeelewa swali langu?!Nimekuuliza kuwa unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa Tindu Lissu anashirikiana na foreign actors kuhujumu Taifa la Tanzania?
 
jamaa wanafuatilia kwa karibu sana yanayojiri Tanzania. wacha tu Jiwe aendelee kujitoa ufahamu.
Aisee kwani mbona Kama Bado uko chini ya wakoloni?yaani unaongea kwa uoga kabisa!c'mon hii ni nchi huru we jamaa,sio wazungu wakikuangalia tu we unatetemeka...unashindwa hata na kibanga was60s bwana!
 
Sijamsikia Jiwe akisema damu itamwagika ila nimemsikia Lissu several times akiongelea vurugu na umwagaji damu,Sasa hapo mabeberu wachague wa kuanza nae
 
Rais wetu hajaenda Ulaya wala America hatuogope.

Kumtambua mtu flani ndie Rais kwenye nchi zetu za Kiafrica hiyo kauli haina mashiko
 
Umeelewa swali langu?!Nimekuuliza kuwa unaweza kuthibitisha beyond reasonable doubt kuwa Tindu Lissu anashirikiana na foreign actors kuhujumu Taifa la Tanzania?

Nasita kuamini kuwa unaelewa standard ya beyond reasonable doubt inatumika wakati gani. Nadhani unaitumia very loosely. It shouldn’t be used that casually!
 
Wakuu, nimeona mjadala wa baraza la Congress la Marekani likiijadili Tanzania Jana na hapo hapo Leo ubaloz wa Tanzania umetoa statement ya kuonya wale woote watakaokuwa chanzo cha vurugu na kuharibu Uchaguzi.

Wakuu wale ni MABEBERU tujitahid Sana kukwepa uvunjivu wa haki wale wenzetu ukisikiliza Kwa makini utagundua kuwa wanafuatilia kila kinachopangwa na kinachofanyika na wanadata zooote kuunganisha na hii statement ya ubalozi tunatakiwa tujiangalie kuna mipango inapangwa Juu Ya wale watakao kuwa chanzo cha kuvuruga Uchaguzi Kwa kunyima haki za watu, angalia ile statements Ya Leo imesema Kwa kushirikiana na nchi za kidemocrasia watafikiria hatua stahiki, hilo neno ni kubwa na linaonesha kuwa kuna mipango mikubwa inapangwa na nchi nyingi za ulaya kutaka kumwadibu yoyote atakaekuwa chanzo cha kunyima haki Au kupora haki najua wapo watakaosema ah wapi ah wapi Lakini kumbuka kuwa, hata hizo Data za Uchaguzi mlizoziweka kwenye hiyo laptop yenu wanaziona na wao ndio wanaokurusu usiangalie na kuziedit

Mkiambiwa kuwa lisu ni mpango wa MUNGU muwe mnaelewa, kila mbabe na mbabe wake

Hivi mnajua hilo neno walilosema kuwa kwakushirikiana na nchi zenye democracy mnajua maaana yake? Wameishajipanga kumwadibu yoyote atakaepora haki, hivi nyie mnaijua ile kampuni Ya kisheria inayomsimamia lisu? Ile inamtandao kwenye nchi zote za ulaya na inaweza kushawishi chochote kwenye nchi yoyote na nyie hamjui kudhungu, wakiongea na watu wenye ushawishi Kwenye hizo nchi mtashangaaa mambo yanakuwa mambo haya endeleeni kusema kuwa msiponichagua.

Endeleeeni kusema kuwa ole wenu msiponichagua, wakuu msicheze na Yule Robert wa ile kampuni Ya kisheria Ya kimataifa, Yule ana Wateja wake ambao ni watoa maaamuz huko ulaya, ana Wateja wake ambao ni wajumbe kwenye vyombo vya maaamuzi huko ulaya na Marekani atawashawishi watapendekeza Halafu serikali zao zitabaki na issue ya utekelezaji huku mtaanza kukumbiana mmoja baada Ya mwingne mwisho mnajikuta mnaanza nilikuwa natekeleza sheria, Mara niliamlishwa na wakubwa Wangu, na mkumbuke kuwa wale wanaweza kuamua wakasema sisi tunamtambua fulani ndio rais wa Tanzania haya mtaenda wapi? Wakisema hivyo mtaenda wapi? Maanaa watakachofanya ni kukuondoa wewe Au kuelekeza misaada yoote Kwa huyo wanaemtambua.
We subiri tutakapoanza kuchapisha note za sh.billion 100 ndo watanzania watakapoelewa maana ya democracy
 
Nasita kuamini kuwa unaelewa standard ya beyond reasonable doubt inatumika wakati gani. Nadhani unaitumia very loosely. It shouldn’t be used that casually!
Hizo ni porojo tu!Mambo ambayo hayana ushahidi ni porojo na majungu.Kama kuna mtu anatumika na wazungu kuangamiza taifa tutahitaji ushahidi,tofauti na hapo hizo zinakuwa ni siasa za maji taka,porojo,majungu na kupotezeana muda na huu ni ujinga
 
Rais wetu hajaenda Ulaya wala America hatuogope.

Kumtambua mtu flani ndie Rais kwenye nchi zetu za Kiafrica hiyo kauli haina mashiko
Hajaenda ulaya Wala America lakin pesa zao anazichukua kila siku kwa kuletewa misaada na mikopo yenye riba nafuu sa inasaidia nin kutokwenda ulaya ?
 
Mtu anayeshirikiana na foreign actors kuhujumu taifa lake anastahili kuitwa jina gani jingine?
Ujuma za uwanja wa ndege chato hauzioni, KIKOKOTOO haukioni, Mishahara kutopandishwa kwa miaka mitano hauoni, Loan board 15% hauoni , Pole si Bora mabeberu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom