Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,572
- 98,072
You are truly a great thinkerHata hotelini papuchi zinauzika sana tu
Mi na STUNTER hatukufikiria upande huo
You are truly a great thinkerHata hotelini papuchi zinauzika sana tu
Kweli aseeHahaha.. Maana hamna namna tena
Aisee ndomana wazungu Wameshtuka zamaani, kilakitu kinaandikwa kwenye mkataba, hadi raha yaniNi vitu vya kawaida sbb umekutana ukubwani.
Wote mnatabia tofauti kwa hiyo kuumiza ni vitu vya kawaida. Na unapomtongoza mwanamke hakuna mkataba wwte mtakaoandikishana ndiyo maana utakuta mwanamke ana watu wake wa pembeni na ww unao wa pembeni kwahiyo inabidi ukubali maumivu.
UKITAKA MTU ASIENDE KINYUME NA MAKUBALIANO YENU. UKIMTONGOZA AKAKUBALI INABID MUANDIKIE MKATABA, TENA UFANYIKE NA POLISI WAWEPO KBSA HATA AKIVUNJA UTAMSHITAKI.
YAAN NI KAE NA MTU SINA FUTURE NAYE KILA KUKICHA ANAZID KUNITIBUA. BADO NANG'ANG'ANIA TU KISA TUMEINGIA MAKUBALIANO YA KUOANA. THUBUTU
Ha ha haHahaha kwahiyo anataka kukwambia wewe nenda hotelini tu, hutokosa unachokitaka hahahah
Sorry, jinsia yako pleaseMtu.mzima utaumizwaje??
Ukitendwa first time yatosha,sasa ukiona ww unakuwa wa kuumizwa tuu kama sio ujinga ni nini??
Wanawake wengine huwa nawashangaa anaona.fika simpend anakazania,anang`ang`ania si ujinga huo
Tenda mema sepa,hakuna mapenz dunia ya leo
Mkataba ndiyo kila kitu. Ndiyo maana kazi nyingi zinafanyika kwa mkataba sbb anajua ukikiuka masharti lazima umlipe, nani atakubali hasara?Aisee ndomana wazungu Wameshtuka zamaani, kilakitu kinaandikwa kwenye mkataba, hadi raha yani
Ever seen snakes make love?!?MAPENZI YANA RAHA YAKE, ASIKUAMBIE MTU.
BILA HIVI VITU MM NA WW TUSINGEKUWEPO KWENYE ULIMWENGU HUU
Km tungekuwepo basi tungekuwa kunguni, au mbwa, nyoka au mnyama au mdudu yyte
Well said mkuu,Mkataba ndiyo kila kitu. Ndiyo maana kazi nyingi zinafanyika kwa mkataba sbb anajua ukikiuka masharti lazima umlipe, nani atakubali hasara?
Inabid uwe mpole tu. Kwa dunia yetu ya sasa watu wametanguliza mbele TAMAA HASA YA NGONO NA FEDHA.
Unaweza kuwa na mpenzi, ukamuhudumia kila kitu, ila siku ukiyumba unampoteza kbsa. Na akirud keshafanywa mpaka kachoka.
MAPENZI YA SASA YAMEVURUGWA NA HALI NGUMU YA UCHUMI NA UTANDAWAZI
mrproblemsolveMtu unalizwa kila siku kwenye mapenzi lakini bado unakomaa utadhani wewe
Anodi Shwazenega. Hivi na hali hii tete siku hizi, si
bora ungetafuta ajira hotelini, ukatolewe machozi
kwa kumenya vitunguu huku unakusanya
mshahara na kusubiri mafao yako yatoke mwaka
2055?