vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 599
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa maana ya taa zenye rangi mbalimbali zilizopo kwenye baadhi ya mafriji. Nini maana ya taa yenye rangi ya kijani,njano na nyekundu. Pia alama ya nyota moja kwenye friji inamaanisha nini? Natumia freezer aina ya BEKO model BZ-602.Naomba kuelimishwa kuhusu sifa za friji hizi.
