Mnaotongozana..

Hata mimi mkuu nipo kwenye Swaum Adi.

kama watu wangekuwa wanatongozana hapa CC si ungekuwa ushaona?
kila kinachoandikwa hapa kinaonekana kama ilivyo kwa majukwaa mengine...
kama watu wanatongozana basi labda PM huko ambapo ni ishu binafsi baina ya watu wawili...
sheria za JF zipo wazi kabisa kuwa kinachotokea PM kinabakia kuishia huko huko...
 
Tena huko hakufai unaweza ukaharibu Swaum yako bure kwa hasira maana ukisikia habari za Mafisadi wanavyoingiza hela kwa kutuibia hadi kichwa kinauma. Bora huku upunguze Stress.

eeeee mungu swaum yangu
sijui nikimbilie wapi labda kwny matangazo
nikatangaze biashara yangu ya ubuyu huko!!
 

Wanatongazana PM wakishatosana wanakuja Public na kutoleana lugha chafu.
 
Wewe kama unataka kuwajua watu njoo na gia hiyo ila usitake kujifanya unauliza uliza maswali ya ajabu.

Mkuu mbona povu linakutoka au na wewe ndo mmojawapo ya watu hao?
 

thread za kishoga shoga wapelekee mapunga wenzako....mnaharibu sifa ya JF....punguani nyie
 
thread za kishoga shoga wapelekee mapunga wenzako....mnaharibu sifa ya JF....punguani nyie

Mimi na wewe nani anaeharibu JF? Au kijana unaona wengine hatujui maneno ya kashfa?

We kama umeona ilikua haikuhusu ungeipotezea.
 
mi napitaa tu....mda wa kufturu tiari kwani??
 
Haya mambo kwani bado yapo zama hizi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…