Mnaotaka kutoboa nchi ni Canada, mtanishukuru

Mkuu mbona kuna wimbi kubwa la watu wanatoroka kanada na kuingia Marekani kinyemela. Yani idadi imezidi.
Now they're coming from CANADA: Northern border sees 743% spike in migrants trying to cross into US | Daily Mail Online.

Mwache ajiandikie anavyoona , Canada la moto mpaka wacanada wanakimbilia US ,ye anaandika ujinga gani sijui
 
Kuna mda mwengine jifunze kutulia nyumbani kwa dada yako unapo pata hotspot.

haya linganisha hii.

View attachment 2507763
View attachment 2507764
Hiyo dollar 1000 hapo Montreal ,Toronto ,Quebec NK kuipata unajua shughuli yake ?
Kama una akili pitia hapa
Kama hot cake Proffessionals yenye mshahara mkubwa mfano software engineers kama huyu anapigika mpaka anataka kukimbia ,wewe na kazi yako unskilled labourers si ndio utaolewa kabisa ?

Canada mfumo ulivyosetiwa unadiscourage unskilled labour , utapigika mpaka ufe ni bora kidogo uwe na fani na licence ya kupractice hiyo fani
 
Huwa huwezi kuchangia hoja mpk umtukane mtu, umdharau au kutoa kashfa?
Katika ulimwengu huu kuna watu wao hujiona wanaakili sana kuliko wengine na kujiona wao ni bora kuliko wengine. Anaweza kukuuliza 1+1 ni ngapi ukamjibu 11. Atakujibu wewe ni mpumbavu sana. Swali dogo km hili unashindwa kujibu?
Watu wa namna hii huwa hawana urafiki mzuri na watu.
Kuna jamaa mmoja yeye ana hasira muda wote. Marafiki zake wameshamtenga
 
Mbona watu hawaongelei kutafuta maisha Russia, China, Iraq, Iran, Palestina, Afghanistan, Somalia, Dubai, Saudia Arabia, Misri, Libya na Uturuki?

Maisha mazuri yapo Canada, Uingereza, Austraria, USA na Canada tu?
Hapa Tz maisha ni mazuri zaidi ila uwe tu na hela.
 
Wahindi unawaona hapa Tanzania wengi plan zao ni kwenda kuishi Canada.

Nilijalibu kufatilia nikagundua Canada bado nchi yenye fursa ukilinganisha na USA ambayo ina wimbi kubwa la kila mtu kuishi, kusoma, kufanya kazi na n.k.

Maisha ya Canada yapo tofauti na USA kiutafutaji kama ukituliza akili na kutoboa ni fasta sana.

USA ni kugumu yani unaweza pata kipato kikubwa ila ukaishia kupanga na kubadilisha simu kali.

Kwa nini na zungumzia hivo,canada bado kuna kamakazi nafuu ukilinganisha USA.

Sijajua kwa sasa taratibu zake ila watu waishio huko nikiwalinganisha na waliopo USA naona USA wanaogopa sana kutukaribisha kuliko waliopo Canada.
Kwani mkuu, wewe ni Mweshimiwa Mkimbizi Mungubariki Lema, kuweza kuyajua yote hayo?
 
Canada nilikuepo 2018 mpaka 2019 nakahamia Marekani,,, ASIKUDANGANYE MTU FURSA ZILIZOPO MAREKANI SIDHANI KAMA ZIPO SEHEMU YOYOTE DUNIA...
MBONA WALIOPO WANAMAISHA MAZURI CANADA UKILINGANISHA USA.NA KILA SIKU WANATUMA BIDHAA KUJA TZ.ILA KILA MTU NA MTAZAMO WAKE
 
Wahindi unawaona hapa Tanzania wengi plan zao ni kwenda kuishi Canada.

Nilijalibu kufatilia nikagundua Canada bado nchi yenye fursa ukilinganisha na USA ambayo ina wimbi kubwa la kila mtu kuishi, kusoma, kufanya kazi na n.k.

Maisha ya Canada yapo tofauti na USA kiutafutaji kama ukituliza akili na kutoboa ni fasta sana.

USA ni kugumu yani unaweza pata kipato kikubwa ila ukaishia kupanga na kubadilisha simu kali.

Kwa nini na zungumzia hivo,canada bado kuna kamakazi nafuu ukilinganisha USA.

Sijajua kwa sasa taratibu zake ila watu waishio huko nikiwalinganisha na waliopo USA naona USA wanaogopa sana kutukaribisha kuliko waliopo Canada.
Njoo canada ukiwa na skills utatoboa, Njoo canada usomee skills ukimaliza masomo utatoboa, njoo canada ufanye biashara ukiwa na mtaji wa uhakika utatoboa.. Canada kama unapenda maisha ya ujanja ujanja kama kule marekani au africa utaishi maisha magumu sana... huku hawapendi mbambamba kila kitu ni sheria ukijichanganya unanyoooshwa dunia yote unaiona chungu kumeza.... Nilikuja hapa 2017 nikasoma zangu Information zangu Information Security 3 yrs saivi nakula salary yangu takatifu baada ya lisaa...
 
Hongera mkuu
 
Mnaoenda huko muwe makini sana, binafsi nilienda abroad kupitia rafiki yangu anayeishi huko katika utafutaji nikajikuta on the wrong side of the law

Aisee acheni jamani, imagine unafungwa sehemu ambayo huna hata ndungu wa kukujulia Hali hata kwa simu!! Japo ilikua muda mfupi ila acheni tu! Najivunia sana kurudi bongo!

Ukienda kutafta Kule live a clean life japokua jela hapana mwenyewe inaweza kutokea bahati mbaya
Wewe ni Limutuz-Boma liwanza
 
Kuna mda mwengine jifunze kutulia nyumbani kwa dada yako unapo pata hotspot.

haya linganisha hii.

View attachment 2507763
View attachment 2507764
izo hotel x nying wanaenda watu wa hal ya juu ila me ngoja ntolee mfano dubai ambapo tulikua tunafata spea za magar zpo sehem mfan awal tulkua tunafkia hotel hela zpo juu pak dilham elfu au 700 ukienda hotel za bei poa ndio dilham 400 uki convert kwa madaf ni pesa nying na inakulazm ukae wik tu ila baad ya kukutan na wazoef wakaw wanatushika mikono wanatupelek kweny mageto unalipa dola 100 mwez mzima shida hamna hosptality nzur ila ac ipo na vtanda double dek ukitak kufuliw lazm uwapoz watu wpo msosbunaend mtaan so i guess ht uko usemapo ukipat wenyej zaid lazm ukutan na hostel ama mageto watu wanapngsha bei poa maisha yanaenda ht kweny movie tunaon ukitazm kuna watu walalahoi wanapang magorof ya ovyo landrod anachkua kodi kbabe ukotsha kuful
 
Hiyo dollar 1000 hapo Montreal ,Toronto ,Quebec NK kuipata unajua shughuli yake ?
Kama una akili pitia hapa
Kama hot cake Proffessionals yenye mshahara mkubwa mfano software engineers kama huyu anapigika mpaka anataka kukimbia ,wewe na kazi yako unskilled labourers si ndio utaolewa kabisa ?

Canada mfumo ulivyosetiwa unadiscourage unskilled labour , utapigika mpaka ufe ni bora kidogo uwe na fani na licence ya kupractice hiyo fani

Kampuni za kilimo, usafi, ujenzi huko wana ajiri tu skilled workers..? Embu ingia kwenye job portal ya givt ya canada basi uanglia post ngapi za kazi zinatangazwa za unskilled job
 
izo hotel x nying wanaenda watu wa hal ya juu ila me ngoja ntolee mfano dubai ambapo tulikua tunafata spea za magar zpo sehem mfan awal tulkua tunafkia hotel hela zpo juu pak dilham elfu au 700 ukienda hotel za bei poa ndio dilham 400 uki convert kwa madaf ni pesa nying na inakulazm ukae wik tu ila baad ya kukutan na wazoef wakaw wanatushika mikono wanatupelek kweny mageto unalipa dola 100 mwez mzima shida hamna hosptality nzur ila ac ipo na vtanda double dek ukitak kufuliw lazm uwapoz watu wpo msosbunaend mtaan so i guess ht uko usemapo ukipat wenyej zaid lazm ukutan na hostel ama mageto watu wanapngsha bei poa maisha yanaenda ht kweny movie tunaon ukitazm kuna watu walalahoi wanapang magorof ya ovyo landrod anachkua kodi kbabe ukotsha kuful
Huu uandishi wako dah
 
Wahindi unawaona hapa Tanzania wengi plan zao ni kwenda kuishi Canada.

Nilijalibu kufatilia nikagundua Canada bado nchi yenye fursa ukilinganisha na USA ambayo ina wimbi kubwa la kila mtu kuishi, kusoma, kufanya kazi na n.k.

Maisha ya Canada yapo tofauti na USA kiutafutaji kama ukituliza akili na kutoboa ni fasta sana.

USA ni kugumu yani unaweza pata kipato kikubwa ila ukaishia kupanga na kubadilisha simu kali.

Kwa nini na zungumzia hivo,canada bado kuna kamakazi nafuu ukilinganisha USA.

Sijajua kwa sasa taratibu zake ila watu waishio huko nikiwalinganisha na waliopo USA naona USA wanaogopa sana kutukaribisha kuliko waliopo Canada.
Umeshawahi kuishi canada au umesikia story za kijiweni,USA is number one there more opportunity compare to Canada,
 
Back
Top Bottom