Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,785
Wahindi unawaona hapa Tanzania wengi plan zao ni kwenda kuishi Canada.
Nilijalibu kufatilia nikagundua Canada bado nchi yenye fursa ukilinganisha na USA ambayo ina wimbi kubwa la kila mtu kuishi, kusoma, kufanya kazi na n.k.
Maisha ya Canada yapo tofauti na USA kiutafutaji kama ukituliza akili na kutoboa ni fasta sana.
USA ni kugumu yani unaweza pata kipato kikubwa ila ukaishia kupanga na kubadilisha simu kali.
Kwa nini na zungumzia hivo,canada bado kuna kamakazi nafuu ukilinganisha USA.
Sijajua kwa sasa taratibu zake ila watu waishio huko nikiwalinganisha na waliopo USA naona USA wanaogopa sana kutukaribisha kuliko waliopo Canada.