mnaotaka kazi UN gonga hapo

Mujuni Fravius gonga hapo kwenye hiyo link aliyotoa jamaa ya UNDP Jobs utaziona kazi zote
 
Sina ninapofiti,yabidi kwenda shule tena

Umenichekesha sana mkubwa! Ni vema ukarudi shule..siku hizi kazi zote za maana..ni kushindanisha vyeti. Then uzoefu. then technical know who! Zamani tulikuwa tunaambiwa experience ndo muhimu...mwenzangu siku hizi experience inaagaliwa baada ya kuangalia cheti...We live in interesting times!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom