not really,but natamani kujua hiyo pool ya wachumba hapa
jf ni kubwa kiasi gani.????
what is the rate of success?????
wangapi wamefanikiwa na kufunga ndoa??
inawezekana but we cant be sure,,,,,
halafu kuna wasichana wanakuja tafuta waume...
so na wao wanatafuta wa kuwamega tu au?????
Hakuna ndoa washikaji wanamegana tu ! Usawa huu uowe unatafuta matatizo ya nini?
.........Hivyo mtu ukioa unajitafutia matatizo?
.........Hivyo mtu ukioa unajitafutia matatizo?
masa...
unaongea kwa kuhisi.....
au una experience ya namna hiyo
hapa????unaweza share nasi?
In real life huwezi tafuta mchumba kwa namna ninazoona hapa JF! Ndo maana nahisi jamaa wanakuwa na Uhanga basi wanatumia lugha za wachumba....I might be wrong Mazee
ndo maana bado upo upo...
wenzio wanaopoa na kuopolewa...
But seriously speaking, kuna mtu yeyote kweli mwenye akili timamu anayetegemea kumpata mchumba wa maana humu? I mean sisemi kwamba haiwezekani lakini mimi sehemu kama hii naichukulia kama kijiwe cha burudani tu. Nothing too serious. Hata nikikutana na mtu hapa siwezi kumwambia jina langu la kweli wala kumpa picha yangu ya kweli au information zangu zingine za kweli. It's too risky.
.........Ujue kuna mabinti ni wajinga sana, wanatoa picha zao za kweli kwa wanaume, halafu utakuta mwanaume anamdanganya tu online kumbe kaoa na ana familia yake.
Nina cousin wangu ndio mchezo wake, anawadanganya sana wasichana humu online na ana picha kibao za mabinti kwenye laptop yake. Yaani yeye kafanya kama mchezo anadai anapima akili za wasichana. Halafu yeye wala hawapi picha hao wasichana, lakini wasichana walivyokuwa wajinga wanamtumia picha.
......Enyi wasichana wenzangu wenye tabia hii hebu mjue kujiheshimu, msipende kutuma picha zenu kwa wanaume humu wenzenu wanawachora tu.
Hebu tulieni mtakuja tu kuolewa, mbona wanaume wapo wengi wanaotafuta wasichana wa kuoa.........msijidhalilishe jamaniiiiii!!!