Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,359
Kwani kuna nn huko hebu acha kutia wenzako uoga.hebu niambie unataka umuogopeshe mashamba ya maganga na la ufuta kule uwanja wa paradeHufai kuwa soldier,huna uvumilivu na hakika utakimbia mafunzo natena siku ya intro hutaimaliza,uliza 834kj na naomba wakupeleke huko.
Dah umenikumbusha mbali,afande maganga noma,operesheni gani mkuu na ulikuwa kombania gani na mwaka ganiKwani kuna nn huko hebu acha kutia wenzako uoga.hebu niambie unataka umuogopeshe mashamba ya maganga na la ufuta kule uwanja wa parade
Sijui kama ataweza maana kule kuna kozi ya miezi sita yaaani ni mshikemshike halafu ndo abakie kikosini apewe kitengo.Hivi wewe utaiweza hii kazi kweli maana nakuona unalalamika sana..pande hizi ni kuchukua order tu na kukaa kimya hakuna siasa huku ndugu yangu
tpdf kuingia bado mkuu maana ata waloingia tpdf oljoro wana miez 6 hadi sasa wanafanya uzalendo yani bado cozi haijaanza,lakini majina yatatoka mwez wa 10
Unajichomea kuwa wewe ni unfithahahahahahaha mmmmh ww utatua na presha
nakushauri fanya mambo yako mengne jkt bado sanahahahahahahaha mmmmh ww utatua na presha
Hamna ronja hapa, ushaanza kukata tamaaa mpema hivi.jeshini kuna somo la uvumilivu ndo limeanza ivo.we vumilia tu muda ukifika utajuzwa.Habari! WanaJF
Haya tupieni Ronja(hints) za siku za kureport weka na sababu ama sorce ya Kuback up taarifa zako.
Maalum kwa wahusika.
Sijakata tamaa mkuu Ni vyema Tu vijana kupeana ronja kidogoHamna ronja hapa, ushaanza kukata tamaaa mpema hivi.jeshini kuna somo la uvumilivu ndo limeanza ivo.we vumilia tu muda ukifika utajuzwa.
kwani nimekwambia nataka niingie jkt? na hata ningeingia ningepumzika bada ya miez 6 kama kawamoto wa maji hata ww fanya issue nyingine coz utapata tabu jkt kwakutokua na nguvu za miguu punyeto zitakuuwa ww hahahahahaa pole sana kijana
skia sio kila taarifa ya jkt utakayopata humu lazma iwekewe source, ukwel ni kwamba kunza maji mengi moyo uelee, kwanza unaenda kj Namb ngap?Habari! WanaJF
Haya tupieni Ronja(hints) za siku za kureport weka na sababu ama sorce ya Kuback up taarifa zako.
Maalum kwa wahusika.